Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,148
- 2,815
Sikuhizi watu wanaoana kwa Fashion bila kutumia fikra , binadamu sisi ni mbegu , hauwezi ukapanda mbegu ya Tunda chungu utegemee upate Tunda lenye ladha. Fanya tafiti kwanza ya ukoo wa mke au mume unayetaka akuoe au umuoe. Maana kuna dhambi na laana huwa zinatembea vizazi kwa vizazi , kuna Koo zina historia ya kumwaga damu za watu na laana zake hadi za magonjwa . Unaweza ukakuta umezaa jambazi kumbe ni damu ya ukoo wa mke au mume. Genes huwa zinatembea . Dunia hii Mungu ameiumba kwa siri kubwa sana.Mchujo uwe mkubwa