Oa msichana ndani ya ukoo wako

Oa msichana ndani ya ukoo wako

Mw
Sasa wataka ujifananish3 ww na mwarabu

Maadili hakuna siku hizi..wanawake wamekuwa empowered na mambo ya gender equality mwisho wa siku wanataka kila kitu 50/50.Wanawake wanavuka mstari wa haki zao kama wanawake.Wanawake wanataka kuwa kama wanaume.

Wanawake wanataka kuwa kama Lilith mke wa Adamu babu yetu(sjui alikuwepo kweli au la) lazima tuwashindwe kama babu yetu adamu
Kesi zimekuwa nyingi mimi ni moja wapo ,
 
Naumia sana kuona wanawake kumdhalilisa waume zao pindi tu kunapotoke sitofahamu na kuachana.

Leo bora tuwafate waarabu life style yao tu japo si wote. Kuoa msichana asietoka mbali na familia naona itapunguza ukakasi na matatizo ya kudhalilishana kuliko unaenda kuoa 10000 miles, ndugu wa mke na mume ata akuna mawasiliano na kujuliana hali.

Mazingira humpa msichana kufanya upumbavu wowote bila ata kujiuliza mara mbili.

Mawazo yangu tu hayo.
Naunga mkono hoja, Kuna binamu yangu Yuko vizuri sana
 
Yaani mambo ya kuoa au kutokuao ni mambo ya Mungu mwenyewe sababu kuna mtu ukimuuliza uliwahi waza kuoa atasema sijawahi ila sijui nilioa vipi .?

Ila kuna peremende zingine zinaoa kila uchwao ila zinatendwa mpaka huruma na sisi tulioao bila kupanga ila tunsenjoy life la ndoa hizo peremende zikiwa zinalia oooh kataa ndoa mara wanawake hawaaminiki

Sisi tuko bize kuzifuta makamasi tu na kuziambia kuweni kwanza maana bado ni watoto
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hivi tuseme wanawake wametuzidi akili? Mbona threads za aina hii zimekuwa nyingi?

Wanaume tumekuwa watu wa kulia lia tu kutwa kuumizwa na hawa wasaidizi wetu
Tatizo lipo kwetu wanaume yan tumepewa madaraka matokeo yake tukazungukana wenyewe tukawapa haki zaid wanawake yan saiv ukienda mahakaman ishu inayohusu ndoa mwanaume huna chako
 
Tembeeni mjifunze nyie achenzi kuwaza negative mfumo ni mzuri wa waarabu matatizo yapo ila si kwa sisi wabongo visilani kila day .
Hapo nitakuomba ufafanue mkuu!

Let say umemuoa dadako ama binamu, je penzi lenu litakuwa na utofauti na penzi la kawaida?

Yaani ukikuta tabia chafu za huyo dada mke au wewe ukawa na mwenendo usiofaa, mwaweza kuvumiliana na kufurahiana kwa kigezo cha undugu?
 
Kwani ndugu mpaka awe dada waarabu hawapo ivyo wanaowana ndani ya koo zao .Mfano ww ukoo wenu ni mwarubadu basi utaowa ndani ya ukoo wako ! !! Kama ikitokea mtu nje ya ukoo wenu anataka apose kwenye ukoo wenu lazima kuwe na ugumu na kuchunguzwa vizuri hiyo familia
 
Tatizo lipo kwetu wanaume yan tumepewa madaraka matokeo yake tukazungukana wenyewe tukawapa haki zaid wanawake yan saiv ukienda mahakaman ishu inayohusu ndoa mwanaume huna chako
Tumetoka kwenye mfumo
 
Apo
Yaani mambo ya kuoa au kutokuao ni mambo ya Mungu mwenyewe sababu kuna mtu ukimuuliza uliwahi waza kuoa atasema sijawahi ila sijui nilioa vipi .?

Ila kuna peremende zingine zinaoa kila uchwao ila zinatendwa mpaka huruma na sisi tulioao bila kupanga ila tunsenjoy life la ndoa hizo peremende zikiwa zinalia oooh kataa ndoa mara wanawake hawaaminiki

Sisi tuko bize kuzifuta makamasi tu na kuziambia kuweni kwanza maana bado ni watoto
Mzee ukiona mwanaume analia kwenye ndoa usimcheke narudi usimcheke wanawake wa karne hii ni matatizo na si changamoto
 
Back
Top Bottom