Oa msichana ndani ya ukoo wako

Mw
Sasa wataka ujifananish3 ww na mwarabu

Kesi zimekuwa nyingi mimi ni moja wapo ,
 
Naunga mkono hoja, Kuna binamu yangu Yuko vizuri sana
 
Yaani mambo ya kuoa au kutokuao ni mambo ya Mungu mwenyewe sababu kuna mtu ukimuuliza uliwahi waza kuoa atasema sijawahi ila sijui nilioa vipi .?

Ila kuna peremende zingine zinaoa kila uchwao ila zinatendwa mpaka huruma na sisi tulioao bila kupanga ila tunsenjoy life la ndoa hizo peremende zikiwa zinalia oooh kataa ndoa mara wanawake hawaaminiki

Sisi tuko bize kuzifuta makamasi tu na kuziambia kuweni kwanza maana bado ni watoto
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hivi tuseme wanawake wametuzidi akili? Mbona threads za aina hii zimekuwa nyingi?

Wanaume tumekuwa watu wa kulia lia tu kutwa kuumizwa na hawa wasaidizi wetu
Tatizo lipo kwetu wanaume yan tumepewa madaraka matokeo yake tukazungukana wenyewe tukawapa haki zaid wanawake yan saiv ukienda mahakaman ishu inayohusu ndoa mwanaume huna chako
 
Tembeeni mjifunze nyie achenzi kuwaza negative mfumo ni mzuri wa waarabu matatizo yapo ila si kwa sisi wabongo visilani kila day .
Hapo nitakuomba ufafanue mkuu!

Let say umemuoa dadako ama binamu, je penzi lenu litakuwa na utofauti na penzi la kawaida?

Yaani ukikuta tabia chafu za huyo dada mke au wewe ukawa na mwenendo usiofaa, mwaweza kuvumiliana na kufurahiana kwa kigezo cha undugu?
 
Kwani ndugu mpaka awe dada waarabu hawapo ivyo wanaowana ndani ya koo zao .Mfano ww ukoo wenu ni mwarubadu basi utaowa ndani ya ukoo wako ! !! Kama ikitokea mtu nje ya ukoo wenu anataka apose kwenye ukoo wenu lazima kuwe na ugumu na kuchunguzwa vizuri hiyo familia
 
Tatizo lipo kwetu wanaume yan tumepewa madaraka matokeo yake tukazungukana wenyewe tukawapa haki zaid wanawake yan saiv ukienda mahakaman ishu inayohusu ndoa mwanaume huna chako
Tumetoka kwenye mfumo
 
Apo
Mzee ukiona mwanaume analia kwenye ndoa usimcheke narudi usimcheke wanawake wa karne hii ni matatizo na si changamoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…