Obama aichafua Kenya...

Obama aichafua Kenya...

You can read the entirety of Obama’s remarks below which has made Kenyans stomach churn, courtesy of the White House press office. I find quite unfair.

haa mimi hata sijamaliza kusoma hiyo speech yaani kila imejaa laughter..laughters tuu, inanyesha kabisa sio serious speech, take it easy guys....
 
haa mimi hata sijamaliza kusoma hiyo speech yaani kila imejaa laughter..laughters tuu, inanyesha kabisa sio serious speech, take it easy guys....
Yeah. Watu siku hizi hata kitu kidogo tu ni kelele. Where is the sense of homour nowdays
 
Obama atakuwa anaiongelea Kenya ya 2007/08 siyo Kenya ya leo ambayo ameipongeza kwa kufanya uchaguzi kwa amani kabisa..inabidi tuwe tunatafakari kwanza kabla ya kurukia mambo..............
 
Wakenya sasa wataijua vizuri Marekani. Kuna hatihati uchumi wa Kenya kuyumba. Kadhalika kuna uwezekano Kenyatta kutomaliza muhula wake, au kutumikia muhula mmoja. Ndoto za Raila kuwa Rais bado zipo.

Uchumi wa Kenya hata ukifa kabisa una mchango gani katika world economy.......?! Third world country.....
 
Back
Top Bottom