Yani kilichotokea hapa ni kama vile ex wa mke wako anakuja nyumbani, anapewa attention kubwa kuzidi wewe, atachinjiwa kuku, watoto wanamwita baba, duuhh!!
Dah hadi huruma, hapa Biden amekosa wa kuongea nae alafu anageuka anamcheki Obama ana kundi la watu wamejazana kwake...Biden anamcheki Obama huku amejawa hasira na wivu halafu wanapiga mziki wa huzuni Kwa nyuma
Your browser is not able to display this video.
Biden anaamua kumfata nyuma Obama na kumshika bega lakini Obama hata hageuki kumsikiliza Biden ambae ni raisi, Hapa Obama kafanya maksudi kabisa kutoa ujumbe kwa Biden kwamba yeye ndie yupo in charge.
Your browser is not able to display this video.
Hapa kamtania Biden ni Vice President ila ni kijembe kabisa hiki ukitazama Biden alivyohaha katika hii hafla.
Ni personality issue!.
Obama anasifa ya ushawishi na kuvutia haswa tukiangalia kisaikolojia kuanzia voice tone the way he sounds.. kwenye issue za mvuto hichi pia wengi huwa wanakisahau pia body language yake akiwa mbele za watu he seems to be confident simama yake,kifua mbele na pia anapoongea huhusisha na ishara panapotakiwa.. na huongea kinachotakiwa kwa wakati sahihi Biden hawezi mfikia huyu jamaa kwenye hivyo vitu.

Haha! Wrong mkuu!.. U.S.A sio Africa kwamba akiondoka mtu basi anaongoza bado ipo system kweye ile nchi ndio inafanya maamuzi makubwa hayo madogo madogo ndo wanaachiwa wengine!.
Mkuu issue ya body language huwezi nielewa ila tambua hii ni sayansi nyengine ya kitabia.. hizi ni gift ambazo mtu anazaliwa nazo ni kama kipaji. Kama unapenda saikolojia uje uifatilie kidogo utaelewa.

USA sio km hapa Tanzania ambapo mstaafu anatuongoza
Sio kwamba obama anaushawishi ila white supreme hasa republican wanatumia iyo kumchapa biden kuwa ni nothing pasipo obama
Dah Kuna Ile Biden amekosa wa kuongea nae alafu anageuka anamcheki Obama Na kundi la watu Dah...anakaa kama dakk 2 ivi anaangalia uku anajawa Na hasira Na wivu halafu wanapiga mziki wa huzuni Kwa nyuma