Obama amtania Biden ni Vice President, Biden ashangazwa kuona watu wakijazana kwa Obama huku akibaki pekeyake

Ni personality issue!.
Obama anasifa ya ushawishi na kuvutia haswa tukiangalia kisaikolojia kuanzia voice tone the way he sounds.. kwenye issue za mvuto hichi pia wengi huwa wanakisahau pia body language yake akiwa mbele za watu he seems to be confident simama yake,kifua mbele na pia anapoongea huhusisha na ishara panapotakiwa.. na huongea kinachotakiwa kwa wakati sahihi Biden hawezi mfikia huyu jamaa kwenye hivyo vitu.

Obama anafaa katika nafasi za ushawishi.
Basi awekeze kwenye forex na cryptocurrency
 
Kitu alichofanya Obama jana ni maksudi kabisa.....

alikuwa anaweka wazi kwamba yeye ndie yupo in charge, Biden ni kama puppet tu,

Biden is ignored because everyone knows he's not the one running the show.
Sema binadamu tumapenda sana ubishi na kukuza vitu ambavyo hata siyo big deal.

Nchi huwezi kuongoza peke yako. Unahitaji watu hasa wataalamu na Wenye uzoefu.

Kwenye uzoefu huwezi kuwaepuka Marais wastaafu.

Biden na Obama wote Ni Democrats wanaoamini sera zinazofanana kwahiyo Hakuna kibaya chochote kushauri na Obama na wengine ndani ya Democrats.

Hata Happ kwetu, zamani tulikuwa na Mkapa na wengine.

Sasa hivi Marais wastaafu waliobaki Ni Mwinyi ( ambaye uzee hajiwezi tena) na Kikwete. Ndani ya CCM Kikwete ndiye Mwenyekiti wa CCM na Rais mstaafu kwahiyo huwezi kumuepuka kwenye maamuzi.

UKiwa Rais huwezi kujifanya unataka kufanya kila kitu hata ukikosea wakati Kuna watu wenye uzoefu wanaoweza kukusaidia vizuri.

Na ndio maana binafsi napenda Mume wa Samia Hafidh amekaa kando. Angekuwa anafuata na Samia kila wakati basi WASWAHILI wangesema ndiye anaongoza nchi.

Watanzania tunaongea sana aisee. We talk too much. Too much
 
JK ni mwenyekiti wa ccm?
 
listening skills yako inaimarika
Kivipi naweza kuimarisha my listening skills ?

Akili yangu inaniambia niwaskilize akina obama wenye viingereza vya mayai once nikiweza kuwaelewa hao basi nitaelewa wengine...

use jf search utapata
Nasearch vipi kwa urahisi mkuu.

Samahani.
tafuta unayoyapenda na yenye umaana kwako
Ninayoyapenda kivipi mkuu sijakuelewa.
 
Kuna kitu kinaitwa "charisma". Unazaliwa nacho. Ni kipaji fuliani. Mfano:
1.) Ronald Reagan
2.) Julius Kambarage Nyerere, nk

As for charisma, in this group I can add; Benjamin William Mkapa who additionally was intelligent and confident.
 
Hizo ni dhana zinazotengenezwa na chama cha upinzani Marekani ili kuonyesha kwamba Biden ni dhaifu na hafai anaburuzwa na Obama

Ni kama hapa Bongo inavyo tengenezwa dhana kwamba Msoga gang ndio wanamuendesha chifu hangaya
 
Obama alishawahi kusema

"Never underestimate joe's ability to f*ck things up" 😂😂

Alafu hao chama cha Biden (Democrats) wakiona unazingua huwa wanaanza kuacha kukupa ushirikiano, watakutumia tu usaini vitu vyao kwa maslai yao, imetoka hio.
 
Back
Top Bottom