chibalangunamchezo
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,542
- 2,645
Tembea KenyaTanzania ni the best siku zote.
Ahhha hahaha ha-ha hii ni ukweli kabisa mkuu 100% ukweli,ahhhaMkuu mimi taarifa zako kuziamini mpaka Le Big Brother aziverify. Umetulisha sana matango pori hasa kuhusu TV station ya Le Baharia
wacha ujinga wewe...sio kila kitu lazima tufananishe...you sound stupidObama loves Tanzania more than Kenya, even during his time in office he visited Tz first kabla ya kwenda Kenya,
I assure you this trip intended to visit Tz, nothing else but kuindoa aibu akaona sio mbaya akizuga anaenda kusalimia wajaluo.
Nakubaliana nawe mia kwa mia ingawa mm mtanzaniaebu tuache upumbavu wa sijui obama ametua tz kwanza sijui anapenda kenya kuliko tz...huo ni utoto...obama katua tz bas vizuri kabisa kwa utalii wa nchi...ingawa nampnda sana, obama si Mungu...
Imewauma mkuu zingine nne ziko njiani[emoji2] [emoji2]Watanzania watoto wakubwa sana inaudhi.
Yaani mtu binafsi kukuja mbugani kutalii, imewapa furaha hivi? Akili zenu timamu kweli?
WaKenya huwacheka sana. Very primitive society. Lakini sishtuki. Nyinyi ni watu ambao mlikimbia uwanja wa ndege kuilaki ndege moja kutoka marekani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji88]
Very primitive society
Mbona ituume? Nyinyi ni kama mchwa kwenye matako ya Ndovu. KQ hamuwezi pishana nao.Imewauma mkuu zingine nne ziko njiani[emoji2] [emoji2]
We tukana Sana lkn tambueni tunakuja mshatunyonya Sana....Sasa imefika mwisho, kila mtu apambane na Hali yake, na hatumtoi magufuli mpaka awanyooshe...oparation ijayo nikuwafukuza wakenya wote wanaofanya kazi ambazo Watanzania wanaweza kuzifanya, nyie si mmeendelea kafanyeni kazi kwenu sisi mbona hatuji kufanya kazi kwenu, mdogo mdogo mtatuelewa tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona ituume? Nyinyi ni kama mchwa kwenye matako ya Ndovu. KQ hamuwezi pishana nao.
Sijui mkapataje fikra kuwa mtaweza kupishana na KQ, wakati wao wana more than 40 aircrafts na 15 more on the way?
Akili zenu punguani
Hahahaha nyinyi your NATIONAL OBJECTIVE ni kuinyoosha Kenya?? HahahahahaaaWe tukana Sana lkn tambueni tunakuja mshatunyonya Sana....Sasa imefika mwisho, kila mtu apambane na Hali yake, na hatumtoi magufuli mpaka awanyooshe...oparation ijayo nikuwafukuza wakenya wote wanaofanya kazi ambazo Watanzania wanaweza kuzifanya, nyie si mmeendelea kafanyeni kazi kwenu sisi mbona hatuji kufanya kazi kwenu, mdogo mdogo mtatuelewa tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akiamua aonane na obama anaweza.Mzee wa msoga anazikosa sana hizi moment
Jamaa wa propaganda zilizoganda, unalipwa pesa ngapi kuleta uongo humu ninaweza kukulipa double ufyate ndimi.Taarifa rasmi kabisa na za uhakika ni kwamba aliyekuwa rais wa Marekani ndugu Barack Obama yuko Serengeti Tanzania ambapo aliingia kimya kimya yeye na familia yake.
Taarifa kamili inafuata
Àlikua anasikiliza wakati yuko rais ? Na je alisema yeye au watu waliskia miziki hyo kwenye gari lake ?Huyo wa Msoga tuponaye humu kwani ndio zake hizo, kama anaweza sikiliza miziki ya Ally Kiba kwenye gari atashindwa nini kuangalia unmbea wa JF?
Ila inaonekana wana bifu na Jiwe, ndo maana juzi hakuonekana kwa wale wastaafu....Akiamua aonane na obama anaweza.
Kikwete ana cheo kikubwa sana nchi hii.kustaafu haimaanishi hana mamlaka
Jiwe kujitukuza mi simlaumu sio kosa lakeAlready bongolala washaanza kumsifia mungu wao supreme leader makufuli, ilhali hii taarifa yaweza ikawa uongo mtupu.
Sure, hata ungekuwa ni wewe usingempenda mtu anayejaribu kwa kila njia kuchafua juhudi zako zote ulizozifanya anataka apate sifa yeye tuIla inaonekana wana bifu na Jiwe, ndo maana juzi hakuonekana kwa wale wastaafu....
Mzee baba yuko Bongo,anakula bata mpaka kuku wanaona wivuJamaa wa propaganda zilizoganda, unalipwa pesa ngapi kuleta uongo humu ninaweza kukulipa double ufyate ndimi.