Obama atua Tanzania, achoma mamilioni Serengeti

Obama atua Tanzania, achoma mamilioni Serengeti

Hahahahahaha!! Wakenya lazima wanune.
 
Obama loves Tanzania more than Kenya, even during his time in office he visited Tz first kabla ya kwenda Kenya,
I assure you this trip intended to visit Tz, nothing else but kuindoa aibu akaona sio mbaya akizuga anaenda kusalimia wajaluo.
wacha ujinga wewe...sio kila kitu lazima tufananishe...you sound stupid
 
ebu tuache upumbavu wa sijui obama ametua tz kwanza sijui anapenda kenya kuliko tz...huo ni utoto...obama katua tz bas vizuri kabisa kwa utalii wa nchi...ingawa nampnda sana, obama si Mungu...
 
Hii sio mara ya pili kuja Tanzania. Alishasema kuwa kabla hajawa rais wa Marekani alishakuja Tanzania mara kadhaa. Obama ni mteja mzuri wa Tanzania...
 
ebu tuache upumbavu wa sijui obama ametua tz kwanza sijui anapenda kenya kuliko tz...huo ni utoto...obama katua tz bas vizuri kabisa kwa utalii wa nchi...ingawa nampnda sana, obama si Mungu...
Nakubaliana nawe mia kwa mia ingawa mm mtanzania
 
Watanzania watoto wakubwa sana inaudhi.

Yaani mtu binafsi kukuja mbugani kutalii, imewapa furaha hivi? Akili zenu timamu kweli?

WaKenya huwacheka sana. Very primitive society. Lakini sishtuki. Nyinyi ni watu ambao mlikimbia uwanja wa ndege kuilaki ndege moja kutoka marekani

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji88]

Very primitive society
 
Imewauma mkuu zingine nne ziko njiani[emoji2] [emoji2]
 
Imewauma mkuu zingine nne ziko njiani[emoji2] [emoji2]
Mbona ituume? Nyinyi ni kama mchwa kwenye matako ya Ndovu. KQ hamuwezi pishana nao.

Sijui mkapataje fikra kuwa mtaweza kupishana na KQ, wakati wao wana more than 40 aircrafts na 15 more on the way?

Akili zenu punguani
 
We tukana Sana lkn tambueni tunakuja mshatunyonya Sana....Sasa imefika mwisho, kila mtu apambane na Hali yake, na hatumtoi magufuli mpaka awanyooshe...oparation ijayo nikuwafukuza wakenya wote wanaofanya kazi ambazo Watanzania wanaweza kuzifanya, nyie si mmeendelea kafanyeni kazi kwenu sisi mbona hatuji kufanya kazi kwenu, mdogo mdogo mtatuelewa tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha nyinyi your NATIONAL OBJECTIVE ni kuinyoosha Kenya?? Hahahahahaaa

Boss, we don't mind you. Sisi our national objectives are clear and TZ doesn't feature in them.

What really do you have to offer? Prospects are huge and far much better up north in the form of Ethiopia and SSD. Kenyans will reap more from associations with these countries rather than TZ. YOU guys don't MATTER to us the way you think.

You are trying to compete with Kenya instead of focusing on your own country? Hehehe continue with the same spirit. You will watch us prosper
 
Taarifa rasmi kabisa na za uhakika ni kwamba aliyekuwa rais wa Marekani ndugu Barack Obama yuko Serengeti Tanzania ambapo aliingia kimya kimya yeye na familia yake.
Taarifa kamili inafuata
Jamaa wa propaganda zilizoganda, unalipwa pesa ngapi kuleta uongo humu ninaweza kukulipa double ufyate ndimi.
 
Huyo wa Msoga tuponaye humu kwani ndio zake hizo, kama anaweza sikiliza miziki ya Ally Kiba kwenye gari atashindwa nini kuangalia unmbea wa JF?
Àlikua anasikiliza wakati yuko rais ? Na je alisema yeye au watu waliskia miziki hyo kwenye gari lake ?
 
Already bongolala washaanza kumsifia mungu wao supreme leader makufuli, ilhali hii taarifa yaweza ikawa uongo mtupu.
Jiwe kujitukuza mi simlaumu sio kosa lake
Ni la wajinga walioanza kumpa sifa za ajabu
Na yeye akaona kama ninatukuzwa hivi kwanini nikifa nisiwe kiranja wa malaika ?
 
Jamaa wa propaganda zilizoganda, unalipwa pesa ngapi kuleta uongo humu ninaweza kukulipa double ufyate ndimi.
Mzee baba yuko Bongo,anakula bata mpaka kuku wanaona wivu
 
Back
Top Bottom