ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
PHP:
Wakuu naona ni bora mfikiri ni jinsigani yakujikwamua na umaskini na kusubiri 2015 kuliko kujadili upupu marekani siasa yake haingalii nani yupo na yupo kwa uhalali wa wenye nchi au kwakuhozi madaraka. marekani haina rafiki wakudumu marekani ina maslahi yakudum kwahiyo yoyote atakae kuwa madarakani bila kujali uhalalali kiuongozi je analinda maslahi ya marekani basi huyo hatakuwa na matatizo na marekani lakini ikiwa kachaguliwa kihalali na wenye inch lakini halindi maslahi ya marekani basi huyo atakuwa sikiongozi kwao. (maerkani haina rafiki wakudum ina maslahi ya kudum)
Asante sana. Mimi nashangazwa sana na watu wanaocrave for support au kukubalika na wamarekani. Hii inawezekana labda kwa vile wanaishi Marekani, ila ukweli unabaki kuwa sisi kama Tanzania hatupaswi kuendeshwa na maoni ya Obama.