Obama: Huwezi kusema una Demokrasia ukashinda kwa 90% + huku upinzani umeufungia, uhuru wa habari hakuna

Mabeberu hebu njooni huku, nifundisheni mbinu moja tu ya kujifunga mabomu na kujilipua tulianzishe jalamba
 
na hao electors wana Uhuru wa kumchagua wanaemtaka, hawanunuliki. Bunge letu na mahakama zinathubutu hata kumkemea?
 
Mnafki huyu! Kaenda kuivuruga Libya hiyo ndio demokrasi?😫😫 Wengi walimchagua Hilary Clinton. Wao wakampa Trump aliyechaguliwa na wachache, hiyo pia ni demokrasi? 😴😴 Ukitaka demokrasi halisi nenda Rusia kwa Putin. 😁😁😁
 
Mmmh ndugu mwandishi rudia kusoma ulichoandika ufanye marekebisho
 
Hiyo Ndio demokrasia

Kama hujajipanga unajiandaa kwa wakati mwingine

TLP itatoa ushindani Sasa
Mapimbi mmeumia sana Chadema kujitoa na bado nyie waabudu mwenge Nyamrunda shetani mnamsujudu na kumzungusha nchi mnasababisha laana hata mvua hazinyeshi vizuri.
 
Kwahiyo wewe unafurahiya na haya mambo yanayofanya hapa Tanzania kuhusu kuwabambikiza kesi wapinzani kuwazuia wasifanye mikutano na kuwanyima fomu za kugombea ???
 

Attachments

  • EIs5W1jWsAAvdFF.jpeg
    36.5 KB · Views: 1
  • EIs5W1jWsAAvdFF.jpeg
    36.5 KB · Views: 1
Huna akili wewe popoma wa lumumba!

Unaweza kuelezea kuhusu maafisa watendaji kufunga ofisi zao,ili wapinzani wasirudishe fomu? Au huo mpango uliwahusisha na watendaji?
Hiyo office iliyofungwa ni ipi? Uliiona?
Chadema waliosema Rais kalazwa Germany leo nije niwaamini na hizi hekaya zao?

Sio mimi
 
Obama aliwauwa maelfu ya walibya na Gaddafi wao
mmmm facts mkuu,ila matatizo ya pale Syria naona wanakimbilia kwenye nchi hizo hizo za mabeberu wala sio iran,saudia ila wanalazimisha waende ujerumani,Sweden,Canada!!!inashangaza
 
Waliofuatilia uchaguzi wa Kibra, Kenya wameona ni jinsi gani hawa jamaa wanazidi kutuacha katika.
Udanganyifu kama udanganyifu unakuwepo lakini sio kwa kiwango cha kuathiri uchaguzi na matokeo yanatoka ndani ya masaa 10!
 
Rais wa MAREKANI Barack Obama katika hotuba yake ameshangazwa na serikali iliyopo madarakani ki-miujiza kujinasibu imeshinda uchaguzi kwa asilimia tisini na huku imewafunga wapinzani[Mbowe , Mdee, Matiku, Bulaya , Msigwa, Sugu na wenzao ] huku ikijinasibu imefanya mengi.

Serikali inaiba mpaka kura zisizo kuwepo.
Naomba usikilize alichokisema huyu.
Ubalozi wa Marekani haujazungumzia lolote kuhusu Obama lakini wananchi wa kawaida wanasema ujumbe umefika.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…