Obama: Huwezi kusema una Demokrasia ukashinda kwa 90% + huku upinzani umeufungia, uhuru wa habari hakuna

Obama: Huwezi kusema una Demokrasia ukashinda kwa 90% + huku upinzani umeufungia, uhuru wa habari hakuna

Mabeberu hebu njooni huku, nifundisheni mbinu moja tu ya kujifunga mabomu na kujilipua tulianzishe jalamba
 
US wenyewe hawana democracy kabisa sababu wana kitu kinaitwa Selection of the Electors ambayo ndio yenye Sauti ya mwisho kuliko kura za wananchi wote.

The Electoral College process consists of the selection of the electors, the meeting of the electors where they vote for President and Vice President, and the counting of the electoral votes by Congress. The Electoral College consists of 538 electors.

Ikumbukwe Trump kaiba kura kwa msaada wa Russia na hakuna kilichofanyika
na hao electors wana Uhuru wa kumchagua wanaemtaka, hawanunuliki. Bunge letu na mahakama zinathubutu hata kumkemea?
 


Alisema: huwezi kuwa na Demokrasia na ukashinda kwa zaidi ya 90+ huku mpinzani wako umemfunga, hakuna uhuru wa habari, hakuna uhuru wa vyama kukutana, kufanya mikutano, uhuruwa kukosoa serikali, hakunataasisi imara za check and balance ukasema kuna demokrasia.

Unafanya uchaguzi kujidanganya

Mnafki huyu! Kaenda kuivuruga Libya hiyo ndio demokrasi?😫😫 Wengi walimchagua Hilary Clinton. Wao wakampa Trump aliyechaguliwa na wachache, hiyo pia ni demokrasi? 😴😴 Ukitaka demokrasi halisi nenda Rusia kwa Putin. 😁😁😁
 
Mnafki huyu! Kaenda kuivuruga Ribya hiyo ndio demokrasi?😫😫 Wengi walimchagua Hilary Clinton wakampa Trump aliyechaguliwa na wachache, hiyo pia ni democrasi? 😴😴 Ukitaka demokrasi halisi nenda Rusia kwa Putin 😁😁😁
Mmmh ndugu mwandishi rudia kusoma ulichoandika ufanye marekebisho
 
Hiyo Ndio demokrasia

Kama hujajipanga unajiandaa kwa wakati mwingine

TLP itatoa ushindani Sasa
Mapimbi mmeumia sana Chadema kujitoa na bado nyie waabudu mwenge Nyamrunda shetani mnamsujudu na kumzungusha nchi mnasababisha laana hata mvua hazinyeshi vizuri.
 
US wenyewe hawana democracy kabisa sababu wana kitu kinaitwa Selection of the Electors ambayo ndio yenye Sauti ya mwisho kuliko kura za wananchi wote.

The Electoral College process consists of the selection of the electors, the meeting of the electors where they vote for President and Vice President, and the counting of the electoral votes by Congress. The Electoral College consists of 538 electors.

Ikumbukwe Trump kaiba kura kwa msaada wa Russia na hakuna kilichofanyika
Kwahiyo wewe unafurahiya na haya mambo yanayofanya hapa Tanzania kuhusu kuwabambikiza kesi wapinzani kuwazuia wasifanye mikutano na kuwanyima fomu za kugombea ???
 

Attachments

  • EIs5W1jWsAAvdFF.jpeg
    EIs5W1jWsAAvdFF.jpeg
    36.5 KB · Views: 1
  • EIs5W1jWsAAvdFF.jpeg
    EIs5W1jWsAAvdFF.jpeg
    36.5 KB · Views: 1
Huna akili wewe popoma wa lumumba!

Unaweza kuelezea kuhusu maafisa watendaji kufunga ofisi zao,ili wapinzani wasirudishe fomu? Au huo mpango uliwahusisha na watendaji?
Hiyo office iliyofungwa ni ipi? Uliiona?
Chadema waliosema Rais kalazwa Germany leo nije niwaamini na hizi hekaya zao?

Sio mimi
 
Obama aliwauwa maelfu ya walibya na Gaddafi wao
mmmm facts mkuu,ila matatizo ya pale Syria naona wanakimbilia kwenye nchi hizo hizo za mabeberu wala sio iran,saudia ila wanalazimisha waende ujerumani,Sweden,Canada!!!inashangaza
 
Waliofuatilia uchaguzi wa Kibra, Kenya wameona ni jinsi gani hawa jamaa wanazidi kutuacha katika.
Udanganyifu kama udanganyifu unakuwepo lakini sio kwa kiwango cha kuathiri uchaguzi na matokeo yanatoka ndani ya masaa 10!
 
Rais wa MAREKANI Barack Obama katika hotuba yake ameshangazwa na serikali iliyopo madarakani ki-miujiza kujinasibu imeshinda uchaguzi kwa asilimia tisini na huku imewafunga wapinzani[Mbowe , Mdee, Matiku, Bulaya , Msigwa, Sugu na wenzao ] huku ikijinasibu imefanya mengi.

Serikali inaiba mpaka kura zisizo kuwepo.
Naomba usikilize alichokisema huyu.
Ubalozi wa Marekani haujazungumzia lolote kuhusu Obama lakini wananchi wa kawaida wanasema ujumbe umefika.
 
Back
Top Bottom