Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mabeberu hebu njooni huku, nifundisheni mbinu moja tu ya kujifunga mabomu na kujilipua tulianzishe jalamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huwa mnachukua buku ngapi kila mkifunua hivo vinywa vyenu vinavyotoa harufu kama chooObama kwa amefanya uchumi wa Marekani uyumbe huyo ni dhaifu hana lolote hawezi kumfkia Mzalendo Magufuli
Kwa uchapa Kazi
Aje pia huku atuondolee uozoObama aliwauwa maelfu ya walibya na Gaddafi wao
na hao electors wana Uhuru wa kumchagua wanaemtaka, hawanunuliki. Bunge letu na mahakama zinathubutu hata kumkemea?US wenyewe hawana democracy kabisa sababu wana kitu kinaitwa Selection of the Electors ambayo ndio yenye Sauti ya mwisho kuliko kura za wananchi wote.
The Electoral College process consists of the selection of the electors, the meeting of the electors where they vote for President and Vice President, and the counting of the electoral votes by Congress. The Electoral College consists of 538 electors.
Ikumbukwe Trump kaiba kura kwa msaada wa Russia na hakuna kilichofanyika
Alisema: huwezi kuwa na Demokrasia na ukashinda kwa zaidi ya 90+ huku mpinzani wako umemfunga, hakuna uhuru wa habari, hakuna uhuru wa vyama kukutana, kufanya mikutano, uhuruwa kukosoa serikali, hakunataasisi imara za check and balance ukasema kuna demokrasia.
Unafanya uchaguzi kujidanganya
Hayo ya Tanzania yanahusu nini wakati hilo ni dongo kwa T?Tanzania Yasasa aibu tupu
Mmmh ndugu mwandishi rudia kusoma ulichoandika ufanye marekebishoMnafki huyu! Kaenda kuivuruga Ribya hiyo ndio demokrasi?😫😫 Wengi walimchagua Hilary Clinton wakampa Trump aliyechaguliwa na wachache, hiyo pia ni democrasi? 😴😴 Ukitaka demokrasi halisi nenda Rusia kwa Putin 😁😁😁
😂😂 Asante mkuu. Ni mambo ya mning'inio asubuh hii. Ila nazani ulinielewa. Nimerekebisha tayariMmmh ndugu mwandishi rudia kusoma ulichoandika ufanye marekebisho
Mapimbi mmeumia sana Chadema kujitoa na bado nyie waabudu mwenge Nyamrunda shetani mnamsujudu na kumzungusha nchi mnasababisha laana hata mvua hazinyeshi vizuri.Hiyo Ndio demokrasia
Kama hujajipanga unajiandaa kwa wakati mwingine
TLP itatoa ushindani Sasa
Satan in nature.Mtawala wetu kwa kweli amepotoka, na shetani amemshika hasa kiasi cha yeye kufurahia na kujivunia matendo ya kishetani kuliko ualiyo ya Mungu.
hata mvua hazinyeshi vizuri.
Yaani we Pimbi kweli yaani unalinganisha intellectual na bipolar disorder?Obama kwa amefanya uchumi wa Marekani uyumbe huyo ni dhaifu hana lolote hawezi kumfkia Mzalendo Magufuli
Kwa uchapa Kazi
Kwahiyo wewe unafurahiya na haya mambo yanayofanya hapa Tanzania kuhusu kuwabambikiza kesi wapinzani kuwazuia wasifanye mikutano na kuwanyima fomu za kugombea ???US wenyewe hawana democracy kabisa sababu wana kitu kinaitwa Selection of the Electors ambayo ndio yenye Sauti ya mwisho kuliko kura za wananchi wote.
The Electoral College process consists of the selection of the electors, the meeting of the electors where they vote for President and Vice President, and the counting of the electoral votes by Congress. The Electoral College consists of 538 electors.
Ikumbukwe Trump kaiba kura kwa msaada wa Russia na hakuna kilichofanyika
ushahidi wa mpango walioupanga huu hapaView attachment 1257385Kwahiyo wewe unafurahiya na haya mambo yanayofanya hapa Tanzania kuhusu kuwabambikiza kesi wapinzani kuwazuia wasifanye mikutano na kuwanyima fomu za kugombea ???
Huna akili wewe popoma wa lumumba!ushahidi wa mpango walioupanga huu hapaView attachment 1257385
Hiyo office iliyofungwa ni ipi? Uliiona?Huna akili wewe popoma wa lumumba!
Unaweza kuelezea kuhusu maafisa watendaji kufunga ofisi zao,ili wapinzani wasirudishe fomu? Au huo mpango uliwahusisha na watendaji?
mmmm facts mkuu,ila matatizo ya pale Syria naona wanakimbilia kwenye nchi hizo hizo za mabeberu wala sio iran,saudia ila wanalazimisha waende ujerumani,Sweden,Canada!!!inashangazaObama aliwauwa maelfu ya walibya na Gaddafi wao
Umechanganya mkuu, anaeongelewa ni Obama wa Tanzania sio yule wa kina GadaffiObama aliwauwa maelfu ya walibya na Gaddafi wao