Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,234
This shows how far you are alienated from your own culture; in your quest to ape the white man. Your self denial is a manifestation of mediocrity at its best. Kenya ni kitovu cha ugaidi, yaani sasa mnaogopa hata kucheza ngoma usiku?Ngoma usiku??
Kenya Is not a mediocre nation
This shows how far you are alienated from your own culture; in your quest to ape the white man. Your self denial is a manifestation of mediocrity at its best.
Kuna yule dada mweusi walikumbatiana wakati anashuka kwa ndege, huyo kapanda the Beast nadhan ni sister ake
Kweli Wamarekani kiboko.Yaani utafikiri wenyewe ndio wenyeji na Wakenya ndio wageni
hawa watu nuksi, alafu hata obama ktk kutembea utaona kama ye ndo mwenyeji, yaani huwa anawapa direction wenyeji wake na kuwapa a lil pat on the back!!
Hahahaaaa kusema kweli sijui protokali zao zilivyo.
Lakini hata JK aliachwa mbona hahahaaaa.
Ila mshikaji dizaini kama kaachwa anashangaa shangaa hivi.
Hawa Wamarekani saa ingine bana.....wana nyodo sana.
umegonga ikulu!This shows how far you are alienated from your own culture; in your quest to ape the white man. Your self denial is a manifestation of mediocrity at its best. Kenya ni kitovu cha ugaidi, yaani sasa mnaogopa hata kucheza ngoma usiku?
Heheheeee lazima mtanyooka tu teh teh teh
Wananiudhi kutembeza ubabe hata ugenini! Nilidhani wanafanyia kwao tu.
Nilikuwa nashangaa unakutana na mtu mahali kinachofuata ni kukukaribisha kwake ukale na kisaza..lol!
Hii tabia siyo nzuri. Hata JK nakumbuka alikuwa anatanywa kama shamba boy.