Ab-Titchaz... Ebu tupia picha ya dada yake Auma alipokuwa anapanda kwenye "The Beast" Mkuu...
Nimeona Rais Kenyatta akibeba kiti alichokalia Obama kukirudiaha nyuma baada ya Obama kusaini kitabu cha wageni,baadae akaja ofisa mmoja kukirudiaha zaidi.
Dar Rais anakuwa kaofisa mbele ya RAIS
kweli kwetu kulikuwa na ulinzi lakini huu wa kenya noma,nimeona kuna kama police officer kama 10,000 wamemwaga.
ulinzi ni mkali sana ...hapa ni mkuu wa viwanja vuya ndege vyote vya kenya ,
ambaye pia mkuu wa uwanja wa ndege wa JKIA Mr. Eric Kiraithe ,
akikaguliwa vikali sana na jmaaa wa kazi. hakuna kuamini mtu hapa.
Hii acc fake siyo ya Obama.
Tukisirike kwanini jameni? Sote tunaelewa that's how the SS do their things, trusting nobody when it comes to the safety of the POTUS.
Kamchukua dadake Auma Obama kwenye the beast na kumuacha Uhuru kwenye mataa asijue la kufanya.
Obama alilala kwenye basi.Yaani ulitaka wapande gari moja? Huu sasa ushamba dadangu!! Nimekasikia na kabibi mtu kanatamba kwamba leo kamelala kwa hotel aliyofikia Obama!
Ha ha ha ha ha.........Mkuu si unajua Al Shabab wanakuja kwa kuvizia.ila hawana uwezo wa kuwazuia al shabaab wasifanye yao