jackline1
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,142
- 2,688
Maybe cause he is a ni--er and a product of a broken familyDuh...coverage ya ziara ya Obama kwenye US media ni ndogo sana hahahaaaaaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maybe cause he is a ni--er and a product of a broken familyDuh...coverage ya ziara ya Obama kwenye US media ni ndogo sana hahahaaaaaa.
Mpingo ya mugabe kumuoa Obama imefikia wapi?
Maana Obama anapenda wenziwe wafukuliwe kinyesi ila yeye anaruka ruka tu
KIVUTIO: Dada wa Obama anayeishi Kenya amepata bahati ya kipekee ya kupanda kwenye gari moja na Rais Obama (The Beast) na msafara unaelekea kwanza hotelini (haijatajwa ni hoteli gani) ambako atafikia kabla ya kuelekea IKULU hapo kesho.
Marire
Moja kwa moja fro US to Kenya baada ya hapo atawasili addis ababa kuhutubia kikao cha wakuu wa nchi za Africa au hapo atakuwa na mazungumzo na Jakaya Kikwete pia Pombe Magufuli atakuwepo kumbuka hotuba ya obama ataongelea zaidi kusaidia miundo mbinu Afrika.
USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
Wale anti-US wako wapi leo?
Kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nani zaidi ya USA hapa duniani? Nani huyo?
Kim Jong Un?
Teh teh teh
Very nice . Am happy for obama family and happy for kenya.Dinner with family....
![]()
![]()
Why?
Nilitegemea iwe kubwa sana...
Mkuu Obama kuna nchi anatokea katika ziara yake ama anatoka usa moja kwa moja na je ataenda nchi gani baada ya Kenya?
Swali la mwisho je dr jk amealikwa katika hayo mapokezi?
Naomba mnjibu maswali yangu yote...nitarudi
Marire
Moja kwa moja fro US to Kenya baada ya hapo atawasili addis ababa kuhutubia kikao cha wakuu wa nchi za Africa au hapo atakuwa na mazungumzo na Jakaya Kikwete pia Pombe Magufuli atakuwepo kumbuka hotuba ya obama ataongelea zaidi kusaidia miundo mbinu Afrika.
Leo si mara ya kwanza kwa Obama kuzuru Kenya.
Hahaa...Mama Clinton watu wamemkomalia si mchezo!!!!. Halafu hizi shooting bhana, kila inapotokea watu wanamhalalisha mhusika eti alikuwa chizi.Kwa sababu [nadhani] Kenya si taifa kubwa.
Angekuwa anaenda tuseme Uingereza, China, au Israel basi coverage ingekuwa kubwa zaidi.
Sasa huko Kenya zaidi ya babake kutoka huko, kuna nini kingine cha maana?
Watu wanaongelea Louisiana shooting na emails za mama Clinton.
ila hawana uwezo wa kuwazuia al shabaab wasifanye yaoAskari wa Kenya wanaonekana madhubuti kimaumbo......wamekaa kiaskari hasa.
Mke na watoto hawakwenda?