Obama makes first trip to Kenya as President (July 2015)

Obama makes first trip to Kenya as President (July 2015)

analindwa na alliena huyo...huyo alliens ndiye bodyguard mkuu asiyeonekana kirahisi...

dadadadeeeeeki.........
.
 
Mpingo ya mugabe kumuoa Obama imefikia wapi?

Maana Obama anapenda wenziwe wafukuliwe kinyesi ila yeye anaruka ruka tu

Watakutana Addis Ababa...Robert Mugabe ataenda na wazee wa kimila kupeleka posa rasmi, ndiyo maana Obama hajasafiri na mke wala mabinti zake!
 
KIVUTIO: Dada wa Obama anayeishi Kenya amepata bahati ya kipekee ya kupanda kwenye gari moja na Rais Obama (The Beast) na msafara unaelekea kwanza hotelini (haijatajwa ni hoteli gani) ambako atafikia kabla ya kuelekea IKULU hapo kesho.

Duh .. hii kali, kapanda the Beast? Airforce one wengi tu wanapanda lakini siyo the beast ...
 
Marire

Moja kwa moja fro US to Kenya baada ya hapo atawasili addis ababa kuhutubia kikao cha wakuu wa nchi za Africa au hapo atakuwa na mazungumzo na Jakaya Kikwete pia Pombe Magufuli atakuwepo kumbuka hotuba ya obama ataongelea zaidi kusaidia miundo mbinu Afrika.

Mbona inasemekena jmos vasco dagama anaenda australia au??
 
Last edited by a moderator:
USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:

Wale anti-US wako wapi leo?

Kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Nani zaidi ya USA hapa duniani? Nani huyo?

Kim Jong Un?

Teh teh teh

Nipo kwani vipi
 
Dinner with family....

11252640_992833724101847_2688928182771892359_n.jpg

11800553_1623568261242872_1055267049759253642_n.jpg
Very nice . Am happy for obama family and happy for kenya.
 
Why?
Nilitegemea iwe kubwa sana...

Kwa sababu [nadhani] Kenya si taifa kubwa.

Angekuwa anaenda tuseme Uingereza, China, au Israel basi coverage ingekuwa kubwa zaidi.

Sasa huko Kenya zaidi ya babake kutoka huko, kuna nini kingine cha maana?

Watu wanaongelea Louisiana shooting na emails za mama Clinton.
 
Mkuu Obama kuna nchi anatokea katika ziara yake ama anatoka usa moja kwa moja na je ataenda nchi gani baada ya Kenya?
Swali la mwisho je dr jk amealikwa katika hayo mapokezi?

Naomba mnjibu maswali yangu yote...nitarudi

Tulikuwa naye kwenye press conference yake leo asubuhi hapa kwa malkia. Kawaambia UK wasijitoe kwenye EU.

Marire

Moja kwa moja fro US to Kenya baada ya hapo atawasili addis ababa kuhutubia kikao cha wakuu wa nchi za Africa au hapo atakuwa na mazungumzo na Jakaya Kikwete pia Pombe Magufuli atakuwepo kumbuka hotuba ya obama ataongelea zaidi kusaidia miundo mbinu Afrika.

Wacha uongo!

BTW mkewe sijamuona chijui imekaaje pamoja na watoto.
 
Kwa sababu [nadhani] Kenya si taifa kubwa.

Angekuwa anaenda tuseme Uingereza, China, au Israel basi coverage ingekuwa kubwa zaidi.

Sasa huko Kenya zaidi ya babake kutoka huko, kuna nini kingine cha maana?

Watu wanaongelea Louisiana shooting na emails za mama Clinton.
Hahaa...Mama Clinton watu wamemkomalia si mchezo!!!!. Halafu hizi shooting bhana, kila inapotokea watu wanamhalalisha mhusika eti alikuwa chizi.
 
Back
Top Bottom