Obama makes first trip to Kenya as President (July 2015)

Kenyatta defies Obama "There are some things our culture does not accept….For Kenyans today, gay rights is really a non-issue"
 
ni kweli.

Ishu kubwa ni maendeleo

hivyo watu waachwe waishi watakavyo na wapendavyo na siyo kuwaingilia na kuwapangia namna ya kuishi.

Nguvu zielekezwe kwenye kujenga uchumi na kuondoa umaskini.

yule mwandishi aliyeuliza swali kama namuona alivyokasirika.
 
Hapo inaitwa kutembeza mbegu au Genes ata wewe unaweza pata mjukuu wako amekuwa mh/rais nchi nyingine hapa ni bidii yako na kukuwa na brains
 




Administration Police in unusual full combat gear CBD
 

Attachments

  • CKwuFcDWEAA7nNI.jpg
    31 KB · Views: 1,057
  • CKwsURzWcAAefDe.jpg
    23.1 KB · Views: 552
  • CKvjskZUcAAATog.jpg
    42.9 KB · Views: 548
huyu pres wa Kenya niliwahi sikia ana step brother au step sister ambao ni half caste wa kizungu. I wonder if this is true
 
Mbona kenyatta akienda marekan au nchi nyingine airport haifungwi????

Its part of their security design. The US has the highest number of assasinated presidents remember...they wont take any chances.
 
huyu pres wa Kenya niliwahi sikia ana step brother au step sister ambao ni half caste wa kizungu. I wonder if this is true
Ndio, ni kweli. In the 1940s alipokuwa Uingereza, J. Kenyatta alimuoa msichana wa kizungu kwa jina Edna Clarke, na kuzaa naye mtoto mvulana aitwaye Peter Magana in 1943. Yeye ni raia huko, lakini yeye huja Kenya nyakati zingine kuwajulia hali mandugu zake huku.
Uhuru Kenyatta is his step kid-brother
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…