palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,459
Ushoga kenya siyo ishu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushoga kenya siyo ishu sana
ni kweli.
Ishu kubwa ni maendeleo
hivyo watu waachwe waishi watakavyo na wapendavyo na siyo kuwaingilia na kuwapangia namna ya kuishi.
Nguvu zielekezwe kwenye kujenga uchumi na kuondoa umaskini.
yule mwandishi aliyeuliza swali kama namuona alivyokasirika.
Nimegonga KTN Live,loh and behold- kitu live bila chenga-On this aspect Wakenya nimewakubaliSisi Wakenya sio saizi yetu, wametuacha tunatembea, wao wanakimbia kwa kasi.
Nimegonga KTN Live,loh and behold- kitu live bila chenga-On this aspect Wakenya nimewakubali
huyu pres wa Kenya niliwahi sikia ana step brother au step sister ambao ni half caste wa kizungu. I wonder if this is true
Mbona kenyatta akienda marekan au nchi nyingine airport haifungwi????
Ndio, ni kweli. In the 1940s alipokuwa Uingereza, J. Kenyatta alimuoa msichana wa kizungu kwa jina Edna Clarke, na kuzaa naye mtoto mvulana aitwaye Peter Magana in 1943. Yeye ni raia huko, lakini yeye huja Kenya nyakati zingine kuwajulia hali mandugu zake huku.huyu pres wa Kenya niliwahi sikia ana step brother au step sister ambao ni half caste wa kizungu. I wonder if this is true