Obama makes first trip to Kenya as President (July 2015)

[Q7l.g0g!UOTE=sam999;12653592]Yet u receive more budgetary aid than kenya SMH[/QUOTE]
 
Afadhali aende huko ili wakenya wapunguze kutuchukia watz kwa yeye kuitembelea tz na kuikacha ky
 


Ha ha ha, walisema eti Obama hawezi kuja Kenya kwani hii inchi ilikua yatawaliwa
na wahuni.

Sasa wahuni ni akina nani,,,,kama si bint soda na wenzake?????

Ha ha ha, ICC, kwisha,,, na sasa Uhuru ni,,,huru na,,,,,,,,,.

Sasa tunawasaidia hawa wenye kutaka kujiokoa na kusingizia
eti wanaokoa Kenya, ha ha ha ha he he he.:teeth:

Karibu Obama Kenya ingawa ulikua umepotoshwa lakini ulikuja
kuona ukweli baada ya ICC na propaganda zao kuambulia,,patupu,

Kwani,,mbio za sakafuni,,uishia ukingoni.
 
pwahaha cheki uyu wenga anyiti any ...buda sare kuyoyoma man
acha ukiritimba, hata wewe ukisemeshwa slang za Togo au Zaire au Malawi utaelewa? shows how little you think! the world does not start and end in Kenya.
 

When Barack Obama visits Africa this month, he will be welcomed by a continent that had expected closer attention from a man they claim as their son, a sentiment felt acutely in the Kenyan village where the 44th U.S. president's father is buried.

"We thought the American government could at least bring some assistance to the area," said Stephen Okumu Obewa, a teacher in Kogelo village who works at Senator Barack Obama Primary School, named before Obama reached the White House.
"Maybe he is interested somehow but we are not aware," he said in a scruffy school with many broken chairs and desks.

Obama wrote about a visit to Kogelo in his 1995 book "Dreams from My Father", which helped launch his swift political ascent.

Some of the fame rubbed off on the village. Tourists turned up and visitors often knock on the door of Mama Sarah, as Obama's step-grandmother is known.

Nearby is the grave of his father, the senior Barack Obama, a Kenyan government economist who died in a car accident in 1982, 21 years after fathering the future U.S. president while living in Hawaii as a visiting student.

Many Africans wonder why Obama has not made development on their continent more a priority in his two terms in office.

"With his election, there was this huge euphoria and high hopes that the U.S.-Africa relationship would see substantive improvements and the U.S. would give more attention to Africa," said David Zounmenou, a research fellow at the Institute for Security Studies in South Africa. "But the record is very weak."
Obama visits Kenya and Ethiopia later in July, his third major trip to Sub-Saharan Africa after travelling to Ghana in 2009 and to Tanzania,Senegal and South Africa in 2011.

He has also visited Egypt, and South Africa for Nelson Mandela's funeral.
"NOT LIKE AN AFRICAN MAN"

"My hope is that we can deliver a message that the U.S. is a strong partner not just for Kenya, but for Sub-Saharan Africa generally," Obama said last week. He said he hoped to build on progress made in health, education and counterterrorism, and to encourage democracy and reducing corruption.

U.S. officials say the perception Obama has ignored Africa is unfair. They point to U.S. efforts to contain the Ebola virus in West Africa and a $7 billion continent-wide initiative to expand electricity supply that was launched in 2013.
But that is a tiny sum compared to the many billions that China has been spending on infrastructure in Africa, bringing roads, airports and railways to a continent with almost 1 billion people and an emerging middle class.

The year Obama took office, 2009, was also the year China overtook the United States as Africa's biggest trade partner.

Nor does Obama have a signature African achievement, unlike his two predecessors.
George W. Bush was lauded for funding HIV/AIDS treatment across the continent. Bill Clinton signed a law which sharply reduced trade restrictions on imports from 35 African states. Obama, who leaves office in January 2017, has carried on both initiatives, but cannot claim them as his own.

"To me, he's not like an African man. He doesn't even have a building or a business here," said Calvine Rachuonyo, 28, who drives a motorcycle taxi in Kisumu, the nearest big city to Obama's father's western Kenyan home village.
In Kenya, his visit could attract some protests, most likely small.

Members of one fringe anti-gay group are planning to protest naked in the capital on the eve of Obama's visit because of his support for gay rights. A student group says it will defile a tree that Obama planted before he became president at Nairobi University, unless he returns there for another visit.

Still, the upcoming arrival has meant an uptick in business for Victor Agwa, who sells Obama trinkets and t-shirts, some emblazoned with the words "Son of Africa", in Kisumu.

Agwa sold a thousand T-shirts before Obama's first election in 2008. Since then, business has steadily declined.

"People have a feeling that maybe he got too busy to come here," he said, hoping for more visits when Obama leaves office.

U.S. Ambassador Robert Godec has said Obama would not visit Kogelo, and that he will instead address the Kenyan people at a Nairobi stadium on July 26.

But Kogelo residents are still preparing just in case Obama does turn up, including sprucing up the grave site of the president's father.

"The gate is always open for Barack, day and night," said Mashart Onyango, who lives on the family compound and said she was one of Obama's aunts. "He is our relative."

Source: Reuters
 
Je Obama Atasalimiana Na Ruto? Obama Ni Muumini Wa Haki Za Binadamu Na Ruto Bado Anatuhumiwa Kwa Mauji, Je Hili Limekaaje Kimaadili?
 
Leo ni siku ya kipekee sana kwa watu wa kenya , afrika mashariki na afrika kwa ujumla pale Rais wa (MAREKANI) ambalo ni Taifa kubwa duniani katika nyanja zote za maisha atakapo tembelea nchi ya Kenya kwa mara ya kwanza akiwa kama Rais wa USA.

Karibu tuungane katika kupeana updates za kitachojiri katika ujio huo ikizingatiwa Tanzania tuliisha wahi onja utamu na adha za ujio wa huyu mtu mkubwa na hata George W. Bush pia. Ziara yake ni kuanzia leo Ijumaa mpaka Jpili atapoondoka.

Shirika linalosimamia safari za ndege nchini Kenya, KCAA, limetangaza kuwa anga ya Kenya itafungwa kwa muda wa dakika hamsini siku ya Ijumaa wiki hii ili kuruhusu ndege ya rais wa Marekani Barrack Obama kutua katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa Jomo Kenyatta mjini Nairobi.


Kwa mujibu wa shirika hilo, agizo hilo litatekelezwa katika viwanja vyote vya ndege nchini Kenya na kuwa anga hiyo itafunguliwa muda tu pale ndege hiyo ya rais Obama itakapokuwa imetua.

Shirika hilo limesema kuwa limeyaandikia mashirika yote ya ndege na pia kampuni zote za usafiri kuhusiana na agizo hilo na kuwa safari za ndege kadhaa zitacheleweshwa siku hiyo na pia siku ya jumapili wakati rais Obama atakapokuwa akiondoka nchini Kenya kuelekea Ethiopia kwa muda wa dakika arubaini.

Awali idara ya polisi nchini Kenya ilikuwa imetangaza kuwa anga yote ya Kenya itafungwa kwa muda wa siku tatu kabla ya ziara hiyo lakini kwa mujibu wa shirika la KCAA ndege zote zinazopaa chini ya futi elfu ishirini hazitaruhusiwa kutua katika uwanja wa Jomo Kenyatta na uwanja wa wilson mjini Nairobi kuanzia siku ya Ijumaa hadi siku ya jumatatu, wakati wa kongamano la kimataifa ya ujasiriamali litakalofanyika mjini Nairobi.

Agizo hilo sasa linamaanisha ndege zote ndogo ndogo ambazo uhudumu kati ya Nairobi na Somalia na viwanja vingine vidogo vidogo katika kanda ya Afrika Mashariki, havitaruhusiwa kutua Nairobi hadi mkutano huo utakapomalizika.

Rais wa Marekani Barrack Obama anatarajiwa mjini Nairobi siku ya Ijumaa usiku ambapo anatarajiwa kuwa mwenyeji wa kongamano hilo la kibiashara kwa pamoja na mwenyeji wake rais uhuru Kenyatta.

KWA MARA YA KWANZA

Obama amepanga pia kutembelea Makao Makuu ya Umoja wa Afrika yaliyo Addis Ababa, Ethiopia ikiwa ni ziara ya kwanza kwa Rais wa Marekani kuzuru umoja huo tangu kuasisiwa kwake

VIKOSI VYA ULINZI

Habari kutoka nchini humo zilidadavua kwamba, vikosi vya ulinzi vya Marekani, CIA, FBI na kile cha siri cha Secret Service vilitua nchini humo miezi kadhaa na kuungana na majeshi ya Kenya ili kuweka mambo safi.

MANOWARI ZA KIVITA Ilielezwa kwamba, meli na manowari za kivita vimepiga kambi eneo lote la pwani ya nchi hiyo katika Bahari ya Hindi, lengo likiwa ni kuimarisha usalama wa kiongozi huyo mkubwa duniani pamoja na jopo la wafanyabiashara atakaoandamana nao.

B52 YAEGESHWA PWANI

Ilielezwa kwamba, jeshi la kwenye maji la Marekani limejikita Bahari ya Hindi kwenye ukanda wote wa Afrika Mashariki kujiandaa kuzuia shambulizi la kivita wakiwa na silaha nzito ndani ya ndege ya B52 ambayo imeegeshwa pwani ya nchi hiyo.

KAMERA, SATELAITI ZAFUNGWA


Ilisemekana kwamba, Jeshi la Kenya wameweka doria kwenye Jiji la Nairobi ambalo limetulia tuli huku likimulikwa kwa kamera maalum na satelaiti za kijeshi, barabara kufanyiwa usafi na nyingine kufungwa huku bendera za Kenya na Marekani zikiwa zimepamba Jiji la Nairobi.

AIR FORCE ONE


Imedadavuliwa kwamba, Obama atatua na ndege ya Rais wa Marekani ya Air Force One aina ya Boeing 747-200B kisha atapokelewa na gari analotumia Marekani ambalo lilitangulia kuwasili Kenya.

UWANJA WA NDEGE

Ilielezwa kwamba, kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta atakaotua Obama, kumejaa ndege za Jeshi la Marekani na hauruhusiwi kutumiwa na ndege nyingine za biashara.

Hali ndivyo ilivyo kwa viwanja vingine pamoja na bandari, hakuna biashara inayoendelea hadi kiongozi huyo amalize ziara yake nchini humo.

MAMLAKA YA ANGA
Ilielezwa kwamba, Mamlaka ya Anga ya Marekani na Makao Makuu ya Jeshi hilo Pentagon wanafanya kazi kama siafu kuhakikisha anga lote lipo shwari.

Kuna taarifa kwamba, wafanyakazi wote serikalini wasiohusika na usalama na ziara hiyo watakuwa miguu juu pindi atakapowasili Obama kwani hawataenda kazini.

Kuhusiana na ulinzi wa Kenya, hata nchi za Tanzania, Somalia, Eritrea, Uganda, Rwanda na Burundi nazo zinamulikwa kusije kukatokea lolote.Hapa bibi yake Obama aitwaye Sarah Hussein Obama akifurahi ujio wa mjukuu wake.





More images, see post #2 on this thread
=======================

Updates: Rais Obama anategemewa kutua Nchini Kenya, katikati ya saa mbili leo usiku hadi saa tano.
Kwa sababu za kiusalama muda rasmi atakaowasili hauwekwi wazi.

Uhuru Kenyatta
UKenyatta



Welcome to Kenya POTUS

5:31 p.m. - 24 July 2015


Update: Muda mchache uliopita, Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na msafara wake wametoka Ikulu kuelekea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) kumpokea Rais Barack Obama kutoka Marekani.


Endelea kufuatilia...

Update (19:42 PM):
Rais Obama kuwasili saa 2 na dakika 10 usiku.

New: OBAMA AWASILI NYUMBANI: Naam, na sasa ndege ya Airforce One iliyomsafirisha Rais Obama imeshawasili katika uwanja wa ndege wa JKIA muda huu wa saa 2 na dakika 03 usiku.

Ulinzi katika Uwanja wa Ndege umezidi kuimarishwa wakiwemo mbwa wa kunusa na vikosi maalumu vya jeshi (Special Force Units) wakiwa wamejiandaa kwa lolote.

=========

Update: SAA 2 na DK 13 USIKU HUU



OBAMA USO KWA USO NA UHURU KENYATTA: Wakati uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu sasa umewadia. Rais Obama ameshatua na kushuka kutoka kwenye ndege na kupokelewa na wenyeji wake wakiongozwa na Rais wa KENYA, Uhuru Kenyatta.

Kinachoendelea sasa ni salamu za hapa na pale baina ya Rais Obama na Mabalozi, Waziri wa ulinzi wa ndani wa Kenya, na viongozi wengine wa juu wa serikali ya Kenya, pamoja na upigwaji wa picha mbalimbali kutoka kwa vyombo vya habari vilivyotanda eneo la Uwanja wa Ndege wa JKIA.

Visitor's book: Na sasa Rais Obama anatia saini kwenye kitabu cha wageni ikiwa ni Kumbkumbu ya ujio wake kama mgeni rasmi na wa kipekee.



Sura za bashasha zimefurika hapa!

THE BEAST: Rais Obama anaelekea kwenye gari yake ghali na ya kipekee zaidi duniani iliyopachikwa jina la The Beast yenye kila kitu ndani ikiwemo ofisi ndogo na mawasiliano.

KIVUTIO: Dada wa Obama anayeishi Kenya amepata bahati ya kipekee ya kupanda kwenye gari moja na Rais Obama (The Beast) na msafara unaelekea kwanza hotelini (haijatajwa ni hoteli gani) ambako atafikia kabla ya kuelekea IKULU hapo kesho.

Ratiba ya kesho ni Obama kuhutubia viongozi maalumu watakaoalikwa kwenye tukio hilo kwenye makazi ya Rais Kenyatta (Ikulu) asubuhi ambako pia atafungua Kongamano la kimataifa la Wajasiriamali mjini Nairobi.

Update: 09: 00 a.m
Ndege na helkopta za jeshi la marekani zimeanza kuzunguka katika anga la Nairobi kuhakikisha kuwa
kila kitu kuhusu usalama kina enda shwari kabisa.




Update: 09:45 a.m
Waandishi wa habari wanaanza kukaguliwa wao na vifaa vyao vya kazi kabla ya kuingia kwenye vyumba vya mkutano wa wajasiliamali na Rais wa Marekani.



Update:saa 10:15 mkutano umeanza Rasmi
.
Mkutano wa wajasiriamali umeanza katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini Nairobi huku Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta akihutubia mkutano.
Rais Kenyata aelezea namna kenya ilivyokumbana na majanga mbali mbali ikiwemo yale ya kushambuliwa kigaidi na Al-shabab
lakini ilipambana nayo na hatimaye kuyashinda na kusonga mbele.
Asisitiza juu ya umuhimu wa nchi za Kafrika kujiirmarisha kiuchumi kwani haziwezi kuendelea kwa kuzitegemea nchi za barani ulaya .
Pia asema kuna wanawake wajasilia mali zaidi ya 1,600 barani Afrika amabo wakikuzwa vema watakuja kuwa wafanyabiashara wakubwa sana hapo baadae.
Pia USA imetoa dola milioni 100 kwaajili ya kuwawezesha wajasiliamali wanawake. Na pi kwa kipindi cha miaka 3 ijayo marfekani itatoa dola bilioni 1 kuwawezesha wanawake wajasilia mali wa Afrika.




Update :10:50 Obama aisifia kenya kwenye teknologia.
Asema nchi ya kenya imepiga hatua kubwa kiteknologia ikilinganishwa na miaka kumi aliyopita pindi alipokuja .
Asifia tena ukuaji wa teknologia ya mawasiliano na matumizi ya Mpesa.
Asema watafungua vituo na mifuko ya kudhamini biashara mbali mbali zitazoanzishwa na wanawake kwani kina mama ndio iniji ya maendeleo. Vituo hivyo vitafunguliwa katika nchi za Kenya ,Mali na Zambia.


Update :Obama atembelea kituo cha mradi wa Power Africa Innovation
Obama ametembelea mradi huo wa kuzalisha umeme kwa kutumia nguvu ya jua huko Nairobi. Ambapo alikutana na mkurugenzi wa huduma kwa wateja M-kopa bibi June Muli, amabo mradi wao unakwenda kwa falsafa ya "pay-as-you-go" wenye lengo la kusaidia kutoa nguvu ya umeme kwa makazi hasa ya watu wa kipato cha chini.

Update :11:02 a.m Obama na Kenyata wanaelekea Memorial Park .
Obama na Uhuru sasa waelekea katika eneo la shambulizi la kigaidi la mwaka 1998 jijini Nairobiambapo watu zaidi ya 200 waliuwawa, wakiwemo wamerekani 12 na wafanyakazi wasio wamarekani 34. Tukio hilo lilitekelezwa na kikundi cha kigaidi cha Al-qaida .






Update :Makama wa rais Ruto akutana na ujumbe wa Rais Obama.

Dakika chache zilizopita Mmakamu wa Rais wa marekani MH. Wiliam Rutto amewasili kunako viunga vya ikulu ya Kenya kwaajili ya kufanya mazungumzo (bilateral talks ) na viongozi waandamizi wa marekani ambao wameandamana na Obama katika safari yake .
amesisitiza wakenya kutumia fursa hii adhimu na adimu kupenyeza biashara zao Marekani na kwingineko duniani kwa maendeleo yao na ya kenya kwa ujumla.



Update za Bilateral Talks.

Mazungumzo yanaendelea katika Ikulu ya kenya huko Nairobi kati ya Rais Kenyata na Rais Obama
Tunategemea matunda mauzri yatapatikana baada ya haya mazungumzo kwani palipo na "wakubwa"
tunatarajia mambo kwenda bara bara.....









 
Mkuu Obama kuna nchi anatokea katika ziara yake ama anatoka usa moja kwa moja na je ataenda nchi gani baada ya Kenya?
Swali la mwisho je dr jk amealikwa katika hayo mapokezi?

Naomba mnjibu maswali yangu yote...nitarudi
 
Yaani hawa watu, hadi shule mabenk wamefunga

Mbona hiyo cha mtoto...
mbona hapa Tanzania barabara za rami zilidekiwa kwa Ommo na kisha dawa ya mbu ya Rungu kupulizwa
ili kuua vimelea vya mbu kwa hisani ya watu wa marekani.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Obama kuna nchi anatokea katika ziara yake ama anatoka usa moja kwa moja na je ataenda nchi gani baada ya Kenya?
Swali la mwisho je dr jk amealikwa katika hayo mapokezi?

Naomba mnjibu maswali yangu yote...nitarudi

Akitoka kenya ataenda Adis Ababa ETHIOPIA .
JK kaalikwa kwa simu TV tu.
 
Marire

Moja kwa moja fro US to Kenya baada ya hapo atawasili addis ababa kuhutubia kikao cha wakuu wa nchi za Africa au hapo atakuwa na mazungumzo na Jakaya Kikwete pia Pombe Magufuli atakuwepo kumbuka hotuba ya obama ataongelea zaidi kusaidia miundo mbinu Afrika.
 
Last edited by a moderator:
USSR

Mkuu kwani nao hao wako kwenye ratiba ya kukutana mkulu wa kaya wa Dunia?
kama yes, mbona sisi alikuja siku 4 hapa kwetu ila aliyekuja kutoka Kenya ni Balozi wao hapa nchini tu, iweje sisi leo mkulu Vasco da Gama na alcohol magufuli wapewe shavu?
 
Last edited by a moderator:
Hao askari wa Kenya ni nyanya tu, Marekani wanajua na lazima wajiweke sawa kiulinzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…