Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Wajaluo wanaweza kuandama na kusema jamaa kabaguliwa..Huyo naye na ushamba wake anataka alishike The Beast.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajaluo wanaweza kuandama na kusema jamaa kabaguliwa..Huyo naye na ushamba wake anataka alishike The Beast.
Ina uchumi mkubwa kuliko mataifa mengine yote duniani.
Ndiyo entertainment capital ya dunia.
Inaongoza kwa kuwa na makampuni mengi ya kimataifa.
Ndiyo nchi yenye ushawishi mkubwa sana duniani kuliko nchi zingine.
Ndiyo nchi yenye vyuo vikuu bora vingi zaidi duniani.
Ndiyo nchi inayoongoza kutoa Nobel Laureates wengi zaidi kuliko nchi nyingine yoyote ile.
Kama unatumia internet, VISA, MasterCard, Coca-Cola, Nike, na kadhalika, basi ishukuru Marekani.
Niendelee......?
Umesahau nigga wanavyopigwa shaba na watasha daily...
Keshatua?
wakuu MOTOCHINI sam999 Iconoclastes MK254 FaizaFoxy Geza Ulole Kimweri Asprin bagamoyo Hoodla NairobiWalker mimi leo natoa yangu ya moyoni kuhusu ujio wa obama, Obama himself anaonekana anakuja kenya underinfluence ya makelele na vilio vya wakenya eti obama amewasaliti wakenya kwa kuanza kuja tanzania na wala sio kenya,hii kitu imewauma sana wakenya, wakenya wamempigia sana magoti obama ili aje kenya awaondolee aibu ,obama akarudisha moyo nyuma lakini akawapa masharti, kwanza hatokuja na familia yake pili lazima akija apitishe ushoga.wakenya wakakubali.na pia kuna tetesi obama amepanga kwenda bongo tena kabla hajastaafu urais
Magari ya Obama yawasili kwenye Terminal 2
![]()
![]()
![]()
Magari ya Obama yawasili kwenye Terminal 2
![]()
![]()
![]()
Nakutafuta kumbe umeenda airport....lol!
Wakikinukisha? Terrorists hawana adabu
mambo yameiva sasa...
Nyani Ngabu
Ina maana huyu Obama,the small matter ya kwenda kutembelea kaburi la baba yake limemshinda? Nimesikia eti Security detail yake imeshindwa kumuhakikishia usalama wake akienda huko sweden.
MeinKempf
Jakaya Kikwetekwa sasa yupo Australia kwa ziara ambapo atakwea pipa hadi adis ababa kuwahi mkutano wa a,u head of state ambao utakuwa na mambo mawili makubwa mapya.
1, Uchaguzi wa Burundi na machafuko yake pia pendekezo la kamisheni yake inayo ongozwa na bi nkosazana dramin zuma iliyopendekeza uchaguzi huo ni batili.
Jakaya Kikwete atatoa taarifa ya e,a,c yeye kama mwenyekiti wa sasa sanjari na mseveni msuruhishi,
2. Hotuba ya obama kuhusu afrika ,ugaidi, ndoa za jinsia moja na uhuru wa mtu na utu wake,miundombinu na miradi ya umeme (power Africa )