nani anataka kwenda jahanamu? Mpumbavu mtupu. warusi wenyewe wanatamani kukimbia kwenda USA. hata mimi nikipata upenyo mzuri naondoka Africa kenda USA/Western Europe lakini si Russia.Ijumaa ya tarehe 19/may/ 2023 Urusi ilitoa orodha ya wamarekani 500 ambao imewapiga marufuku kuingia nchini humo na miongoni mwao ni Rais mstaafu Barack Obama.
Orodha hiyo imetolewa na Serikali ya Urusi ikiwa ni kama kulipiza kisasi baada ya serikali ya Rais wa Marekani Joe Biden kuiwekea vikwazo Urusi kwa uvamizi wake nchini Ukraine
Waliopigwa marufuku ni wale wanaoonekana wana nguvu na ushawishi katika serikali ya Marekani na wengi wao ni Maseneta.
Pia wapo waliopo katika serikali ya Biden na vyombo vya dola.
Source: KITENGE BLOG
Kwani washaendaga Urusi hao!? Kufata nini nchi ya shida shida hiyo muda wote vita
nani anataka kwenda jahanamu? Mpumbavu mtupu. warusi wenyewe wanatamani kukimbia kwenda USA. hata mimi nikipata upenyo mzuri naondoka Africa kenda USA/Western Europe lakini si Russia.
watu wanaongea tu, hao kina Obama wamewekeza sana huko.. sasa acha wanyooshwePole sana Russia ni nchi tajir Duniani ukiona mtu kapigwa sanction jua kwamba ana maslahi au kampuni zake huko Russia. Hii pia ni hatari kwa Siasa za hizi nchi 2.
🤔🤔nani anataka kwenda jahanamu? Mpumbavu mtupu. warusi wenyewe wanatamani kukimbia kwenda USA. hata mimi nikipata upenyo mzuri naondoka Africa kenda USA/Western Europe lakini si Russia.
What do you mean? Is Moscow admired compared to New York?Brainwashed
NobelNa ana Noble peace prize 😂
so wewe ulitaka obama aoneshwe kwenye bibithii na thien eni .ndio uamini kuwa jamaa anaendaga huko .....Kwani washaendaga Urusi hao!? Kufata nini nchi ya shida shida hiyo muda wote vita
Tungeanzia kujua kabla ya ban alitembelea Urusi mara ngapiPole sana Russia ni nchi tajir Duniani ukiona mtu kapigwa sanction jua kwamba ana maslahi au kampuni zake huko Russia. Hii pia ni hatari kwa Siasa za hizi nchi 2.
Tungeanzia kujua kabla ya ban alitembelea Urusi mara ngapi
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app