GreatSeal
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,785
- 3,094
Ijumaa ya tarehe 19/may/ 2023 Urusi ilitoa orodha ya wamarekani 500 ambao imewapiga marufuku kuingia nchini humo na miongoni mwao ni Rais mstaafu Barack Obama.
Orodha hiyo imetolewa na Serikali ya Urusi ikiwa ni kama kulipiza kisasi baada ya serikali ya Rais wa Marekani Joe Biden kuiwekea vikwazo Urusi kwa uvamizi wake nchini Ukraine
Waliopigwa marufuku ni wale wanaoonekana wana nguvu na ushawishi katika serikali ya Marekani na wengi wao ni Maseneta.
Pia wapo waliopo katika serikali ya Biden na vyombo vya dola.
Source: KITENGE BLOG
[emoji16][emoji16][emoji849][emoji849] sasa Obama Russia anafata nini?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]