Ahsante mkuu kwa update hii iliyojaa vitamins na kila aina ya virutubishoUtani pembeni. Obama ana ndugu zake ambao ni Wachaga kwa mama yake wa Kambo. Hivyo akitaka kihamba huko Moshi ni sawa kabisa. Moja ya ndugu yake anaitwa Mark Ndesanjo na Mwingine ni David Ndesanjo. Mark anaishi shenzhen huko China na Obama amewahi kumtembelea huko alipokuwa raisi.
Pia hawa wachagga Mark na David mama yao ni Myahudi hivyo Obama anaweza kwenda kutaka kujenga na Yerushaleym akipenda.
Mama wa Mark na David aliolewa na mzee Ndesanjo wa huko Moshi
View attachment 809959
Barack akiwa na Mark Ndesanjo
Obama gets five minutes with half-brother in China
Cc Otorong'ong'o
Na kuku tunamzawadia. Aisee wakenya watazimia kwa wivu!Wakati huo huo zinedin zidane yupo mkoani tanga kwa mapumziko,watalii wanaokuja Tanzania sio maskini km wale wanaoenda kwa jirani zetu [emoji23] [emoji23] View attachment 810015
Kashaipenda mbegeObama naye anakuwa kama hajui kuwa Chato ndiyo habari ya mjini kwa sasa? Huko Moshi Wachagga watamuambikiza siasa za upinzani bure
Akili matopeJiwe ataumia sana...amejaribu kuididimiza mikoa ya Kaskazini lakini wapii....
Viva Kaskazini
Na koke baada ya kukosa penalty kule russia na timu yake ya spain kutupwa nje world cup,kaona aje TANZANIA kupunguza stress,mungiki povu ruksaNa kuku tunamzawadia. Aisee wakenya watazimia kwa wivu!
Kwan kawa jiwe?Makachelo hana mbona..
Anaididimizaje na wewe, mbona watu wengine mnakuwa na mawazo finyu namna iyoJiwe ataumia sana...amejaribu kuididimiza mikoa ya Kaskazini lakini wapii....
Viva Kaskazini
Na koke baada ya kukosa penalty kule russia na timu yake ya spain kutupwa nje world cup,kaona aje TANZANIA kupunguza stress,mungiki povu ruksaView attachment 810145View attachment 810146View attachment 810147View attachment 810148View attachment 810149
Man sio ukabila ndiyo reality. Wake up!Acha ukabila man
Kama ya malaika jiwe?Akili matope