Obama: Mwambieni Magufuli nataka eneo Moshi nijenge vacation home

Obama: Mwambieni Magufuli nataka eneo Moshi nijenge vacation home

Utafiti uliopelekea ujenzi wa crdb na uwanja wa ndege chato unaweza msaidia huyu jamaa kupewa eneo kule.....
 
Utani pembeni. Obama ana ndugu zake ambao ni Wachaga kwa mama yake wa Kambo. Hivyo akitaka kihamba huko Moshi ni sawa kabisa. Moja ya ndugu yake anaitwa Mark Ndesanjo na Mwingine ni David Ndesanjo. Mark anaishi shenzhen huko China na Obama amewahi kumtembelea huko alipokuwa raisi.

Pia hawa wachagga Mark na David mama yao ni Myahudi hivyo Obama anaweza kwenda kutaka kujenga na Yerushaleym akipenda.

Mama wa Mark na David aliolewa na mzee Ndesanjo wa huko Moshi


View attachment 809959
Barack akiwa na Mark Ndesanjo
Obama gets five minutes with half-brother in China

Cc Otorong'ong'o
Ahsante mkuu kwa update hii iliyojaa vitamins na kila aina ya virutubisho
 
Kwa sababu kachagua Moshi jiwe hatompa ila angechagua Chato angepewa uwanja wa ndege ,Bank ya CRDB na mataa ya kuongozea Punda.
 
Nitaftie yule mkei anaitwa Kenedy00 aliyekuwa mstari wa mbele kupinga kuwa Obama hayupo tz
 
ANidipu kwenye namba yangu Nimpe eka 4 zipo square ajenge MANSION kama la Hugh Hefner ...PLAYBOY MANSION.
 
Wizara yetu nzuri chini ya kingwagala imetumiaje hii nafasi kutangaza vivutio vya maliasili?
 
Na kuku tunamzawadia. Aisee wakenya watazimia kwa wivu!
Na koke baada ya kukosa penalty kule russia na timu yake ya spain kutupwa nje world cup,kaona aje TANZANIA kupunguza stress,mungiki povu ruksa
Screenshot_20180715-172341.jpg
FB_IMG_1531664613051.jpg
FB_IMG_1531664610473.jpg
FB_IMG_1531664607950.jpg
FB_IMG_1531664605349.jpg
 
Back
Top Bottom