Obama: Mwambieni Magufuli nataka eneo Moshi nijenge vacation home

Kwa mara ya kwanza mgeni hajapewa zawadi ya kinyago...hakika tumekuwa kifkra
 
Man sio ukabila ndiyo reality. Wake up!
Is not a reality... is hoax, a cloud of false thought in your mind.
Uko political biased sababu ni wapinzani, maybe nikuulize wapinzani si raia wa tanzania? Kuwa kabila fulani kuwa mpinzan kunamuondolea mtu haki ya msingi ya kiraia?

Man swallow your pride. no body is buying your bullshit.
 
LMAO NILIDHANI TANZANIA HAKUNA UKABILA? NAMNA GANI?

HAHAHAHA KUMBE UWONGO TUU?
 
halafu kuna vijana kutwa kuichafua nchi Yao.

Ngoja waje wageni wawape somo ya namna ya kuvalue tulicho nacho.

Obama anataka kiwanja bongo.

wewe unaita bongo bahati mbaya.
Sio bongo, kilimanjaro,
 
itabidi wabuni utaratibu fulani wa kumpa nyumba ya kukodi ya kudumu, labda ya serikali. Kwa sababu raia wa kigeni haruhusiwi kimiliki ardhi na nyumba. Natumaini walimwelimisha na alielewa, hawa watu mambo ya utawala wa sheria yako kwenye damu.

Kuna kitu Obama hataki kukisema kuhusu Kenya, nadhani yuko disappointed sana na Kenyata, na anajaribu kutuma ujumbe mara kadhaa kwa kuja East Afrika anaishia nyumba ya jirani, Tanzania, anageuza.

Na hata alipokwenda Kenya dakika za mwisho za uongozi wake aliwaambia kwenye hotuba yake kwamba "nimekuja kwa sababu ya kutimiza ahadi kwamba nilisema ningekuja." Bila ya hilo deni la ahadi asingekuja!
 
Hamna kitu kinatwa sheria ambacho hakiwezi kupinduliwa Afrika au Tanzania ,hiyo sheria ya mgeni kutokumiliki ardhi inapinduliwa vizuri ,Kamuulize Mrema alipokuwa waziri wa mambo ya ndani aliwapa nini baadhi ya Wanyarwanda .
 
Wizara yetu nzuri chini ya kingwagala imetumiaje hii nafasi kutangaza vivutio vya maliasili?
Hizi wizara mbili,wizara ya mambo ya nje na wizara ya maliasili na utalii wanatakiwa wapewe watu wajanja na wabunifu sana mkuu.
 
Hamna kitu kinatwa sheria ambacho hakiwezi kupinduliwa Afrika au Tanzania ,hiyo sheria ya mgeni kutokumiliki ardhi inapinduliwa vizuri ,Kamuulize Mrema alipokuwa waziri wa mambo ya ndani aliwapa nini baadhi ya Wanyarwanda .

hawawezi kuipindua hiyo sheria

Lukuvi atakula matamko yake.

Alisema hata diaspora waliochukua uraia nje imekula kwao
 
hawawezi kuipindua hiyo sheria

Lukuvi atakula matamko yake.

Alisema hata diaspora waliochukua uraia nje imekula kwao
Nimekuambia kumuulize Mrema alifanya nini kwa baadhi ya Wanyarwanda akiwa waziri wa mambo ya ndani,naishia hapa
Wanaweza kupindua vizuri hutaki tunaacha mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…