Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usilete siasa humu ndani! Mi nam-support JPM na nilimaanisha Wakenya ndo wataumia.Jiwe ataumia sana...amejaribu kuididimiza mikoa ya Kaskazini lakini wapii....
Viva Kaskazini
Nani kakwambia huyu ni Rais wetu sote.. Acha kutuaminisha uwongoJiwe ataumia sana...amejaribu kuididimiza mikoa ya Kaskazini lakini wapii....
Viva Kaskazini
Acha kuwa na "inferiority complex" wewe. Iwe ni Kaskazini au Kusini yote ni Tanzania moja.Hiyo ndo Kaskazini.....
Ndiyo Mikoa teule
Is not a reality... is hoax, a cloud of false thought in your mind.Man sio ukabila ndiyo reality. Wake up!
HhhhhAtajenga na kiwanda? Akitaka jiwe ampe hiyo gia aingie nayo.
LMAO NILIDHANI TANZANIA HAKUNA UKABILA? NAMNA GANI?Is not a reality... is hoax, a cloud of false thought in your mind.
Uko political biased sababu ni wapinzani, maybe nikuulize wapinzani si raia wa tanzania? Kuwa kabila fulani kuwa mpinzan kunamuondolea mtu haki ya msingi ya kiraia?
Man swallow your pride. no body is buying your bullshit.
Sio bongo, kilimanjaro,halafu kuna vijana kutwa kuichafua nchi Yao.
Ngoja waje wageni wawape somo ya namna ya kuvalue tulicho nacho.
Obama anataka kiwanja bongo.
wewe unaita bongo bahati mbaya.
Acha ukichaa jinga wewe,Sio bongo, kilimanjaro,
Kichwa kimejaa mbege hike.Hiyo ndo Kaskazini.....
Ndiyo Mikoa teule
Hamna kitu kinatwa sheria ambacho hakiwezi kupinduliwa Afrika au Tanzania ,hiyo sheria ya mgeni kutokumiliki ardhi inapinduliwa vizuri ,Kamuulize Mrema alipokuwa waziri wa mambo ya ndani aliwapa nini baadhi ya Wanyarwanda .itabidi wabuni utaratibu fulani wa kumpa nyumba ya kukodi ya kudumu, labda ya serikali. Kwa sababu raia wa kigeni haruhusiwi kimiliki ardhi na nyumba. Natumaini walimwelimisha na alielewa, hawa watu mambo ya utawala wa sheria yako kwenye damu.
Kuna kitu Obama hataki kukisema kuhusu Kenya, nadhani yuko disappointed sana na Kenyata, na anajaribu kutuma ujumbe mara kadhaa kwa kuja East Afrika anaishia nyumba ya jirani, Tanzania, anageuza.
Na hata alipokwenda Kenya dakika za mwisho za uongozi wake aliwaambia kwenye hotuba yake kwamba "nimekuja kwa sababu ya kutimiza ahadi kwamba nilisema ningekuja." Bila ya hilo deni la ahadi asingekuja!
Wizara yetu nzuri chini ya kingwagala imetumiaje hii nafasi kutangaza vivutio vya maliasili?
Hamna kitu kinatwa sheria ambacho hakiwezi kupinduliwa Afrika au Tanzania ,hiyo sheria ya mgeni kutokumiliki ardhi inapinduliwa vizuri ,Kamuulize Mrema alipokuwa waziri wa mambo ya ndani aliwapa nini baadhi ya Wanyarwanda .
Nimekuambia kumuulize Mrema alifanya nini kwa baadhi ya Wanyarwanda akiwa waziri wa mambo ya ndani,naishia hapahawawezi kuipindua hiyo sheria
Lukuvi atakula matamko yake.
Alisema hata diaspora waliochukua uraia nje imekula kwao