gwantemala
Member
- Aug 9, 2016
- 22
- 5
Baba yake obama alitoka Tanzania miaka ya 50 iliyopita katika kijiji cha masara nchini Tanzania kipindi hicho Tanganyika wilaya ya Rorya yy pamoja na mkewe SARA wakaelekea kule kijiji cha kogelo kwa hiyo kama ni asili ya baba mtoto ufuata basi babake OBAMA alizaliwa Tanganyika hii habari hata mhe philimon sarungi aliyekuwa MP Rorya constituency alilithibitishia bunge la Tanzania ido rember it was 12am during parliament sesion