Obama to visit Africa...snubs Kenya again!


MAMA ake wa kambo yupo Tanzania .Mama ao Mark Ndesadjo.Mzee Ndesadjo ali adopt hao watoto wawili wa Obama sr.Huyo mama mzungu ameolewa na mzee Ndesadjo according na blog ya mark mwenyewe .
 
Karibu Omama..! Karibu sana Tz achana na mbulula wa KE, huna haja ya kutembelea majambazi hata kama ni ndugu zako.!
 
woow,I like the way u analyse things,if you thought you are just ``a common man/woman`` today am telling you that,yo have a brain,if u can use it properly....many can be saved out of it``...jioni njema!

 
Anaipenda ccm ndo mana anakuja tz karibu sana obana ccm na democrats ni dugu moja

delusions

Delusional disorder, previously called paranoid disorder, is a type of serious mental illness called a "psychosis" in which a person cannot tell what is real from what is imagined.

The main feature of this disorder is the presence of delusions, which are unshakable beliefs in something untrue. People with delusional disorder experience non-bizarre delusions, which involve situations that could occur in real life, such as being followed, poisoned, deceived, conspired against, or loved from a distance. These delusions usually involve the misinterpretation of perceptions or experiences. In reality, however, the situations are either not true at all or highly exaggerated.

People with delusional disorder often can continue to socialize and function normally, apart from the subject of their delusion, and generally do not behave in an obviously odd or bizarre manner.
 

obama anakuja tz kwa ajili ya maslai ya kimarekani moja ikiwa ni ujenzi wa millitary base pili ujenzi wa mji wa kigamboni ul;io chini ya wawekezaji wa kimarekani
 
I have purposely put inverted (" ")commas around the word SNUBS and have equally put a question mark at the end of the heading of the topic. The reason is I do not want to jump into premature conclusion. Others may have a different view of how and why Obama will be spending two days in a neighbours house (Tanzania) and not visit the homestead of his ancestors. I submitt for Jf commentators.
 
Anatembelea yale mataifa ambayo viongozi wake wanaheshimika duniani
 
I have purposely put inverted commas(" ")around the word SNUBS and have equally put a question mark at the end of the topic. The reason is; I do not want to jump onto premature conclusion. Others may have a different view/explanation as to how and why President Obama will be spending two days in a neighbours house (Tanzania) and not visit the homestead of his ancestors. I submitt for JF commentators.
 

Try to differentiate between Obama as an individual and Presidency as an Institution, Obama will be coming in Tanzania as a president of USA and not as an individual, probably USA has nothing to do with Kenya now despite the fact that Obama as an Individual might be having some interestS in Kenya
 
Mbona aliwahi kutembela nchi hiyo zaidi a mara moja, safari ya kwanza alikwenda huko peke yake akiwa kijana, safari nyingine aliongozana na mchumba wake M. Lobinson. Mimi sioni kuna ulazima gani eti atembelee Kenya kwa kuwa kuna ndugu na makaburi ya ancestors wake, mbona hamsemi kwa nini asianzei safari yake kwa kutembelea kisiwa cha Ireland kwa kuwa mama yake mzazi, mababu na nyanya zake wana asili ya HUKO na bado kuna ndugu zake huko.


Now on a serious NOTE - Hivi unafikili OBAMA anaweza kuchangamkia mtoto wa Kenyatta kuwa RAIS wa Kenya, wakati akijua wazi wazi kwamba Kenyatta Senior ndiye alihusika moja kwa moja katika masahibu aliyo kumbana nayo Baba yake OBAMA alipo rudi kutoka masomoni Merikani na kufanya kazi kidogo katika Serikali ya Kenyatta Sr, baba yake OBAMA ambaye alikuwa ni Mchumi alikuja kutofautiana kidogo kwenye misimamo na Kenyatta hasa baada ya kuuwawa Tom Mboya, tofauti zao hizo zilikuwa ni mbaya sana OBAMA Sr alinusurika kifo zaidi ya mara moja na Kenyatta alihapa kwamba atahakikisha OBAMA Senior hapati kazi na atatembea mpaka kiatu kihishe sole - na kweli OBAMA Sr alipata wakati mgumu kimaisha!!! Ukatili wa kiwango gani huo, labda mtoto mwenye akili zenye uwalakini ndiye anaweza kumchangamkia Kenyatta Jr na 2 add salt 2 an injury Rais mwenyewe hata upigaji kura na matokeo yake yako highly questionable, Uhuru na wapambe wake wanaendeleza ubabe wa baba yake (Kenyatta) wa kujaribu ku-contain makabila fulani ili yasipewe Uongozi nchini Kenya hata kama wameshinda kwenye kura - binadamu gani mwenye akili timamu anayeweza ku-entertain genge lililo kaa kimafia mafia!!

Juzi juzi hapa niliona Balozi na Kenya na Rwanda UN wanataka kujaribu ku-derail mashtaka ya Rais na makamu wake, mama wa Kinigeria akawatolea nje na kuwapa vidonge vyao - baadae Uhuru kaongezewa shitaka lingine la kuwapatia wafuasi wake bunduki za G3 na AK-47 na visu ili wawadhulu wafuasi wa wapinzani wake - sioni hata kama kuna kitu amejifunza kwamba ICC wana uwezo wa kufungua a pandola box mpaka mwenyewe akasalimu amri na hawako peke yao alipo tembelea Uingereza Administraion ya Cameroon ali-act au ku-react kivipi ujio wake huko - siona kama anasoma harama za nyakati.

Nataka nieleweke kwamba binafsi sina tatizo na Uhuru au RUTTO kama binadamu lakini wakumbuke matendo yao ndio Dunia haipendi, wasifikili akili kuchaguliwa kwao kuwa Rais/Makamu basi hilo tu linaweza kuwafutia mashitaka ya ukatili against humanity i.e International community hifumbe macho kwa kuwa Uhuru sasa ni Rais! Kwa maoni yangu sababu nilizo taja kwenye paragraph ya pili mpaka ya mwisho ndizo zilizo mfanya Rais OBAMA hasiweze kuwa na hamu ya kutembelea Serikali ya design za Uhuru na Rutto, hata Uhuru na RUTTO hilo wanalijua sana; ndio maana wamekaa kimya - uchakachua wa kura utawafikisha mahali pabaya sana kadiri muda unavyo kwenda, waswahili usema akufukuzaye akwambii nenda, matendo yake tu yanakuwa message SENT and delivered.
 
Obama ni Mmarekani siyo Mkenya. Jina la Obama tu ni la Kenya yeye ni Marekani
 
Biashara kwanza izo blah blah zingine baadae!
Yaani all the way toka USA aje salimia Kenya
Anakuja Tz na wafanyabiashara 500 ili waje chota fursa za uwekezaji na ni ziara ya kikazi
Tuondoea metality za kiafrica kumbuka yeye ni raisi na mgongoni mwake amebeba taasisi ya URAISI
 

Huyu jamaa ameiweka hii thread ki-layman sana, mimi mwenyewe nilishawahi kwenda Mwanza kulikuwa kuna kazi maalumu na kwa mda maalumu nilishindwa kufika kijijini kwetu Ngudu maana nilikuwa na timu ambayo nisingeweza kui-convice niende kusalimia ilihali tuna kazi tight na tunatakiwa tuzimalize fasta na tuendelee na safari ya Geita. Bibi yangu alilalamika sana kwamimi kuwepo Mwanza alafu nikashindwa kwenda Ngudu, yeye simlaumu
 

Anakuja TANZANIA kumpiku yule wa CHINA........kwani yule wa YUTONG alikwenda Kenya?
 
Anakuja TANZANIA kumpiku yule wa CHINA........kwani yule wa YUTONG alikwenda Kenya?
kama mchina anajenga bandari kubwa bagamoyo, basi na mmarekani aje na dau kubwa kuliko la mchina, hapo watz tutafaidika tu kama sio kugiganishwa na kusambaratishwa. mafahari wawili wakigombana zinazoumia nyasi.
 
Yutong was here lasta days and now obantu????? Wats the secret behind?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…