TANMO
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 11,763
- 11,873
Amechagua Tz sababu watu wake ni wazuri si unaona anaenda Rwanda kwani watu wake pia ni wazuri.
Wazuri kivipi Aloo?!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amechagua Tz sababu watu wake ni wazuri si unaona anaenda Rwanda kwani watu wake pia ni wazuri.
Mkuu wazuri kwa kila jambo.Natural resources wamejaliwa, vivutio vya asili kwa watu wake na ardhi yao wamejaliwa Urembo wamejaaaliwa, huruma wamejaaaliwa, mapendo wamejaaliwa, mshikamano wamejaaliwa, amani wamejaaliwa up.....fu kidogo pia wamejaliwa au utapingana na mimi kwa hili.Wazuri kivipi Aloo?!!!
Before ICC sorts Kenyatta and Ruto, Kenyans don't hide in your cocoon shell. You all are terribly tribal, only Kikuyus and kalenjin voted for them, you all know that, now Obama is giving you a cold shoulder you are acting as normal shame on you😛ainkiller:Why do we get bitter with Obama not visiting Kenya? What difference would it make if he had visited? One thing we need to understand is that Obama is an American n so he doesnt have to come to Kenya. He is at liberty to visit whichever African state.