Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
That is what i'm talking aboutMimi jioni hii ninajichanganya na Democrats abroad South Bank sasa kama kuna watu mnaweza basi njooni tukutane and of course hata mlio single and ready to mingle njooni
One thing is for sure dont expect kukutana na wabongo na hapo ndipo raha iliko kwa hiyo ukikaa na mizungu wee ni mikamba tuuu
nasikia wengine wanakutana YATES pale stratford jioni ya leo
nadhani Dar nako kuna meets kadhaaa
mnaweza kupost picha hapa
That is what i'm talking about
na ukiulizwa jina taja majina ya kigeni geni maana ukisema unaitwa Saidi au Mwambulukutu be assured kuwa next question ni WHERE ARE YOU ORIGINALLY FROM?
sasa ujue huo ni mtego sasa the best option hapo ni kudivert attention na nadhani majibu unayajua
GT you gotta be kidding me.
Kwa hiyo wewe unaona aibu kuwa associated na bongo siyo?