OBAMA victory party ulipo

OBAMA victory party ulipo

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
855
Mimi jioni hii ninajichanganya na Democrats abroad South Bank sasa kama kuna watu mnaweza basi njooni tukutane and of course hata mlio single and ready to mingle njooni

One thing is for sure dont expect kukutana na wabongo na hapo ndipo raha iliko kwa hiyo ukikaa na mizungu wee ni mikamba tuuu

nasikia wengine wanakutana YATES pale stratford jioni ya leo

nadhani Dar nako kuna meets kadhaaa

mnaweza kupost picha hapa
 
That is what i'm talking about
 
That is what i'm talking about

na ukiulizwa jina taja majina ya kigeni geni maana ukisema unaitwa Saidi au Mwambulukutu be assured kuwa next question ni WHERE ARE YOU ORIGINALLY FROM?

sasa ujue huo ni mtego sasa the best option hapo ni kudivert attention na nadhani majibu unayajua
 
GT you gotta be kidding me.

Kwa hiyo wewe unaona aibu kuwa associated na bongo siyo?
 
Accent za kibongo lazima ziresult into the "where are you from originally"s hata ujiite kim xhiao,ila ukiwa saidi mwambulukutu wit a smoove bri-ish accent or an american twang waala, watajua tu umetokea memphis, originally from timbuktu, you just don't embrace your slave name. Nyani, I see the mc cain is gone.......
 
GT you gotta be kidding me.

Kwa hiyo wewe unaona aibu kuwa associated na bongo siyo?

mademu wa kibongo michosho

they take too long na sie wengine tunapenda maji ya Mbeya

lakini on a serious note nani anataka kuwa associated na MAFISADI wale?

wakiniluza huwa wanawaambia ZANZIBAR kisha naanza uwongo ...maana najua wengi wanajua kuwa znz ni exotic island lakini hawajui iko wpai

sasa nikiwaambia iko karibu na Mauritius ohhhhhh you know the rest

by the way nauliza hivi TSHIRT za OBAMA kama hii zinapatikana wapi?

4jqx1.jpg
 
Back
Top Bottom