Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
Mimi jioni hii ninajichanganya na Democrats abroad South Bank sasa kama kuna watu mnaweza basi njooni tukutane and of course hata mlio single and ready to mingle njooni
One thing is for sure dont expect kukutana na wabongo na hapo ndipo raha iliko kwa hiyo ukikaa na mizungu wee ni mikamba tuuu
nasikia wengine wanakutana YATES pale stratford jioni ya leo
nadhani Dar nako kuna meets kadhaaa
mnaweza kupost picha hapa