Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 1,979
Nimepata kusikia kua wa pili alimtanguliza wa kwanza, nae akatangulizwa na wa mwisho Alie angukia pua akijaribu kumtanguliza mstaafu kijana.Vipi Kuhusu Nadharia kwamba,Wakitangulizana kutokana na tofauti za kimtazamo katika masula fulani?Wa mwisho kazidiwa kete baada ya kujarbu tena kumtanguliza mwingine.Kuna ukweli katika hilo?
Mmoja alifukuzwa seminarywote walisoma seminary
Awamu zao zinafuatana kwa namba witiri.Vipi Kuhusu Nadharia kwamba,Wakitangulizana kutokana na tofauti za kimtazamo katika masula fulani?Wa mwisho kazidiwa kete baada ya kujarbu tena kumtanguliza mwingine.Kuna ukweli katika hilo?
Ombeni nanyi mtapewa, bisheni nanyi mtafunguliwa. "Nikifa nataka nikawe rais wa malaika" "Siku moja nitakufa........pengine kwa Korona........"Vipi Kuhusu Nadharia kwamba,Wakitangulizana kutokana na tofauti za kimtazamo katika masula fulani?Wa mwisho kazidiwa kete baada ya kujarbu tena kumtanguliza mwingine.Kuna ukweli katika hilo?
Wa lupaso kaburi lake sio 5star .Wote wako kaburini
Ni ajabu sanaHivi Nyerere na Mkapa ni wasomi kuliko Kikwete na Suluhu?
Thesis yake iko wapi?Haaaaa haaaaa alifanya vipi PhD yake ya maganda ya Korosho!.
Thesis yake iko wapi?
Elimu ya mashakaMuulize Ben Sanane.