Observation: Nyerere, Mkapa na Magufuli (RIP) wana mfanano wa ajabu

Observation: Nyerere, Mkapa na Magufuli (RIP) wana mfanano wa ajabu

Mmoja wao akijiona Mungu
Mpaka akijipa madaraka ya kiungu eti ipo siku atakuja kuongoza malaika, Daah sijui saiv ni kiongozi wa angels huko alipo kama alivyokua akijinadi..
 
Wasomi?Ben Saanane unamjua?

Nyerere alirekebisha uchumi? Nyerere?

Mnatoa wapi hizi propaganda?
Mwaka 1984 na 1985 ndio miaka ambayo tangu tupate uhuru gdp ya tanzania ilikuwa kubwa kuliko Tanzania. Baada ya Mwinyi kuchukua nchi oktoba 1985 ndipo kenya gdp ya ya kenya iliizidi Tanzania hadi kesho hatujawahi kuwakaribia wakenya. Nyerere alikuwa mashine, hatujawahi kuwa na viwanda kama kipindi chake ingawa amestaafu Tanzania ikea na wakazi milioni 17 tu. Alijenga Tazara,viwanda 8 vya nguo ,ndege aliacha 9 nk. Usidanganyike Mwinyi kuruhusu wachuuzi unadhani ndio kuingia uchumi., never.
 
Na wote wamekufa
Wa kwanza hayupo
Wa pili yupo
Wa tatu hayupo
Wa nne yupo
Wa tano hayupo
Wa sita yupo

Wa kwanza mkristo
Wa pili mwislamu
Wa tatu mkristo
Wa nne mwislamu
Wa tano mkristo
Wa sita mwislamu
Hao wakristo awapo sababu ya roho mbaya za kuumiza watu tofauti na hao wengine wanaishi miaka mingi sababu ya kuwatenda watu mema.
 
Back
Top Bottom