Mwaka 1984 na 1985 ndio miaka ambayo tangu tupate uhuru gdp ya tanzania ilikuwa kubwa kuliko Tanzania. Baada ya Mwinyi kuchukua nchi oktoba 1985 ndipo kenya gdp ya ya kenya iliizidi Tanzania hadi kesho hatujawahi kuwakaribia wakenya. Nyerere alikuwa mashine, hatujawahi kuwa na viwanda kama kipindi chake ingawa amestaafu Tanzania ikea na wakazi milioni 17 tu. Alijenga Tazara,viwanda 8 vya nguo ,ndege aliacha 9 nk. Usidanganyike Mwinyi kuruhusu wachuuzi unadhani ndio kuingia uchumi., never.