Nyie hamuombi invlavyotakiwa. Mnayatibua mapepo. Kisha mnayaacha yanapata kisirani.Wanahitaji kuombewa kuanzia Mkuu wa nchi,hawastaili kulaumiwa bali kuhurumiwa,mambo yamewashinda ni frustration tu.Yeye mwenyew anajua mambo magumu,ameivuruga nchi kwa kua mipango mibovu isiyoshirikishi kana kwamba anaongoza familia kumbe nchi ya watu.
Upungufu wa akili tu huo mkuu wana matatizo mengi maisha yao is total messDuuh polisi wetu wana vituko
Ulipenda aongee/atumie Msamiati gani ili aeleweke kwa urahisi...!?Huyo Oc CID mbona ata mwanangu Wa miaka 3 anamzidi kwa kuongea vitu vya maana? anaweza kweli kupelekwa kutoa ushahidi kwenye independent institution?
hahha mkuu umenichekesha sanaKigezo kikuu cha kujiunga na polisi kwa miaka mingi sana kimetajwa kuwa ni UREFU pekee . Hata kama mrefu huyo kichwani ni tikiti maji ! Sina hakika kama siku hizi kimebadilishwa
Ulipenda aongee/atumie Msamiati gani ili aeleweke kwa urahisi...!?
Statements is simple and clear, tatizo letu wananchi tumeharibiwa na wanasiasa "KANJANJA", wametuaminisha maneno mengi eti ndio kuuzungumza ukweli..!
Mimi nimemuelewa Kamanda.
Kwa hivyo na wewe huwa unamlisha Mkeo...!?Sasa wewe si mke wake utaachaje kumuelewa wakati ndio anakulisha?
wamezaliwa tumbo moja nawaza tu lakinKweli huyo ni polisi tena mwenye cheo kikubwa kabisa!!!! Jaribu kupata picha wale askari wadogo wakoje kichwani
Kwa hivyo na wewe huwa unamlisha Mkeo...!?
Huwezi kumwajir mtu kwa kufuata uredu wake/polisi kisha utegemee tofautiDuuh polisi wetu wana vituko
Kila la kheri Mkuu, ila huwezi kuingilia au kuzuia uhuru wangu katika kile ninacho amini...!Unauliza vumbi darini?
Kila la kheri Mkuu, ila huwezi kuingilia au kuzuia uhuru wangu katika kile ninacho amini...!
Ni kweli Biblia imeandika wazee wataota ndogo huyo massawe yuko sahihiDuuh polisi wetu wana vituko