OC CID asema Godbless Lema hastahili kuota ndoto

OC CID asema Godbless Lema hastahili kuota ndoto

Wanahitaji kuombewa kuanzia Mkuu wa nchi,hawastaili kulaumiwa bali kuhurumiwa,mambo yamewashinda ni frustration tu.Yeye mwenyew anajua mambo magumu,ameivuruga nchi kwa kua mipango mibovu isiyoshirikishi kana kwamba anaongoza familia kumbe nchi ya watu.
Nyie hamuombi invlavyotakiwa. Mnayatibua mapepo. Kisha mnayaacha yanapata kisirani.
 
Huyo Oc CID mbona ata mwanangu Wa miaka 3 anamzidi kwa kuongea vitu vya maana? anaweza kweli kupelekwa kutoa ushahidi kwenye independent institution?
Ulipenda aongee/atumie Msamiati gani ili aeleweke kwa urahisi...!?

Statements is simple and clear, tatizo letu wananchi tumeharibiwa na wanasiasa "KANJANJA", wametuaminisha maneno mengi eti ndio kuuzungumza ukweli..!

Mimi nimemuelewa Kamanda.
 
Kigezo kikuu cha kujiunga na polisi kwa miaka mingi sana kimetajwa kuwa ni UREFU pekee . Hata kama mrefu huyo kichwani ni tikiti maji ! Sina hakika kama siku hizi kimebadilishwa
hahha mkuu umenichekesha sana
 
Vyuma vinasema aje mazee ? Ndo salam napendekeza tuanze kusalimiana humu means ukijibu ukidakwa LA kwako hilo.
 
Binadamu wapo nchi hii huwezi amini, akili ndogo hata chizi ananafuu.
 
Ndio maana polisi wakikamata mtuhumiwa huishia kumpiga kipigo cha mbwa mwizi, na huwa hawataki kwenda mahakamani kabisa maana hugeuka kuwa vituko.
 
Ulipenda aongee/atumie Msamiati gani ili aeleweke kwa urahisi...!?

Statements is simple and clear, tatizo letu wananchi tumeharibiwa na wanasiasa "KANJANJA", wametuaminisha maneno mengi eti ndio kuuzungumza ukweli..!

Mimi nimemuelewa Kamanda.

Sasa wewe si mke wake utaachaje kumuelewa wakati ndio anakulisha?
 
Masawe- ocd Arusha mjini! Mtu WA cheo kikubwa anafanyiaje kazi homeland?
 
Back
Top Bottom