Truths
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 1,494
- 1,504
Nyie hamuombi invlavyotakiwa. Mnayatibua mapepo. Kisha mnayaacha yanapata kisirani.Wanahitaji kuombewa kuanzia Mkuu wa nchi,hawastaili kulaumiwa bali kuhurumiwa,mambo yamewashinda ni frustration tu.Yeye mwenyew anajua mambo magumu,ameivuruga nchi kwa kua mipango mibovu isiyoshirikishi kana kwamba anaongoza familia kumbe nchi ya watu.