OC - CID Mafwele ni nani? Kwanini haguswi na uhamisho wa Polisi nchini?

OC - CID Mafwele ni nani? Kwanini haguswi na uhamisho wa Polisi nchini?

Huyu jamaa ni huyo huyo ninayemfahamu alisoma Geita Sec. Miaka ya 80' katikati? Mafwele ni Mkara, alikuwa katibu wa shule na alikuwa katili sana kiasi vijana wa kidato cha kwanza tulikuwa tunamwogopa utafikri naye ni headmaster! Kama ndo yeye basi kumbe watu huwa hatubadiliki!
Duuh! Ndo yeye mkuu!
 
Mafwele amekuwa akilalamikiwa kwamba anazuia watuhumiwa wasipewe dhamana kwa jeuri yake hata kama dhamana ni haki ya mshtakiwa.

Analalamikiwa kwa tuhuma za rushwa ambazo amekuwa akiomba kwa baadhi ya watuhumiwa na pindi wanapokataa kumpa huwabambikia kesi mbalimbali.
Duuh
 
Sawa labda uko sahihi! Tuache hapo! Yuko wapi sasa? Una fuatilia?
Kwanini unamuuliza kama anamfuatilia Mafwele? Amekwambia amesoma naye na kwamba alikuwa mkatili sana akiogopwa kama head prefect, wewe ukasema siyo yeye. Kwamba ni mdogo wake.

Kakuhakikishia kwamba ni yeye, wewe unamuuliza tena kama anamfuatilia.

Fishy.
 
Na yeye amemwambia huyo ni kaka yake, na Kwa umri wa Mafwele (47 years hawezi kuwa amesoma sekondari katikati ya miaka ya 80 (simjui ila najaribu kujakata umri wa Mafwele na majibizano ya hawa jamaa)....unless kama alimaanisha katikati ya 90s ndo Ina tally na umri wake)
 
Kwanini unamuuliza kama anamfuatilia Mafwele? Amekwambia amesoma naye na kwamba alikuwa mkatili sana akiogopwa kama head prefect, wewe ukasema siyo yeye. Kwamba ni mdogo wake.

Kakuhakikishia kwamba ni yeye, wewe unamuuliza tena kama anamfuatilia.

Fishy.
Is it ? Mafwele wa 2 wamepita same school muda usiozidi miiaka 6....anyway sio issue and its not fishy
 
Back
Top Bottom