OCD inanitesa, sijui nifanyeje!

Hapo tiba ni therapy tu, nayo pia siyo 100% ila kama hali ni mbaya zaidi therapist ndiyo anaweza kukushauri kutumia anti-depressants.

Yaani, unachopitia nakuelewa vizuri sana. Haupo peke yako, hapa JF na hata kwa jamii kwa ujumla bado hawana elimu kuhusu afya ya akili: ukimuelezea mtu shida unayopitia hawezi kukuelewa.

Jaribu kupitia community ya OCD kwenye Reddit, pia. Huko ndiyo huwa najifunza zaidi kupitia watu wenye changamoto hii.
 
Unajiuliza na kujijibu mwenyewe. Upo vizuri sana sekta zote. Nashauri onana na mwanasaikolojia bora kabisa afrika mashariki na kati Shimba ya Buyenze. Huyu ni bingwa wa magonjwa haya ya akili.
 
Asante nataka kuanza session j3 hii aisee maana nipo kwenye crisis, ngoja nikapite na huko reddit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…