MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,252
- 8,003
Wasalaam wajumbe humu!
Leo hii kila jimbo ambapo CCM wamechukua form za ubunge na udiwani maeneo mengi nchini wameandamana kwenda ofisi za NEC.Lakini huyu OCD wa mji wa Mbeya sijui kaishia darasa la ngapi, nimeona live akiongea maneno yaliyojaa chuki dhidi ya SUGU eti akidai ana heshima gani atamvunjia heshima.
Huyu OCD alisikika eti anakamata Sugu kwa kufanya maandamano, haya na leo aliambia umma hicho wanachokifanya CCM kwenda ofisi za NEC ni nini?
Yaani haya ndiyo madhara ya kuwapa wati mamlaka hawajui sheria na shule zao haziruhusu. Yaani yeye anajua polisi ni kukamata tuu.