Acha mawazo ya kimasikini hakuna kombe la kumfunga Yanga ,lengo letu ni ubingwa wa ligi kuu na kuingia nusu fainali club bingwa,Tena hili la club bingwa ndio kubwa sanaWanasimba mwezi wa KUMI unakuja.
Tufanye nini ili tuweze kuwafunga YANGA msimu huu. TUmechoka sasa kufungwa kila mara. Mikakati iwekwe mapema tuwaue hawa utopolo this is too much.
Angekuwepo Hans Pope nisingekuwa na naiwazia mechi hiyoo ila kwa sasa Viongozi wa simba hawapambani sana kama Hanspope kuhakikisha simba inashinda hizi game za Simba vs Yanga, tumekuwa Simba laini sana.
Tukubali hatuna timu ya kuwafunga uto. Sisi ni tia maji tia maji na ndio maana tunaitwa Manyonyo fc.Wanasimba mwezi wa KUMI unakuja.
Tufanye nini ili tuweze kuwafunga YANGA msimu huu. TUmechoka sasa kufungwa kila mara. Mikakati iwekwe mapema tuwaue hawa utopolo this is too much.
Angekuwepo Hans Pope nisingekuwa na naiwazia mechi hiyoo ila kwa sasa Viongozi wa simba hawapambani sana kama Hanspope kuhakikisha simba inashinda hizi game za Simba vs Yanga, tumekuwa Simba laini sana.
Nyinyi mnayo timu ya kucheza group stage CAF champions league?Yaani Kuna shabiki wa mbumbumbu fc ana amini wanatimu ya kucheza nusu fainali ya CAF champion league, Hii Dunia inawatu Wana fikra za ajabu sana[emoji2][emoji2]
Sasa mtamlilia huyo Hanspope mpaka lini!! Kwani alipokuwepo mlikuwa hamfungwi?Wanasimba mwezi wa KUMI unakuja.
Tufanye nini ili tuweze kuwafunga YANGA msimu huu. TUmechoka sasa kufungwa kila mara. Mikakati iwekwe mapema tuwaue hawa utopolo this is too much.
Angekuwepo Hans Pope nisingekuwa na naiwazia mechi hiyoo ila kwa sasa Viongozi wa simba hawapambani sana kama Hanspope kuhakikisha simba inashinda hizi game za Simba vs Yanga, tumekuwa Simba laini sana.
Nusu fainali kwa hii timu?Acha mawazo ya kimasikini hakuna kombe la kumfunga Yanga ,lengo letu ni ubingwa wa ligi kuu na kuingia nusu fainali club bingwa,Tena hili la club bingwa ndio kubwa sana