Octoba 23 2022 ni Yanga VS Simba

Octoba 23 2022 ni Yanga VS Simba

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Wanasimba mwezi wa KUMI unakuja.

Tufanye nini ili tuweze kuwafunga YANGA msimu huu. TUmechoka sasa kufungwa kila mara. Mikakati iwekwe mapema tuwaue hawa utopolo this is too much.

Angekuwepo Hans Pope nisingekuwa na naiwazia mechi hiyoo ila kwa sasa Viongozi wa simba hawapambani sana kama Hanspope kuhakikisha simba inashinda hizi game za Simba vs Yanga, tumekuwa Simba laini sana.
 
Unaumia kutokea wapi tulia hivyo hivyo kama vipi msipeleke timu uwanjani. Keo yenyewe mnaumia kwa wajela jela wewe unafukiria oct23😂😂😂
 
Wanasimba mwezi wa KUMI unakuja.

Tufanye nini ili tuweze kuwafunga YANGA msimu huu. TUmechoka sasa kufungwa kila mara. Mikakati iwekwe mapema tuwaue hawa utopolo this is too much.

Angekuwepo Hans Pope nisingekuwa na naiwazia mechi hiyoo ila kwa sasa Viongozi wa simba hawapambani sana kama Hanspope kuhakikisha simba inashinda hizi game za Simba vs Yanga, tumekuwa Simba laini sana.
Acha mawazo ya kimasikini hakuna kombe la kumfunga Yanga ,lengo letu ni ubingwa wa ligi kuu na kuingia nusu fainali club bingwa,Tena hili la club bingwa ndio kubwa sana
 
Wanasimba mwezi wa KUMI unakuja.

Tufanye nini ili tuweze kuwafunga YANGA msimu huu. TUmechoka sasa kufungwa kila mara. Mikakati iwekwe mapema tuwaue hawa utopolo this is too much.

Angekuwepo Hans Pope nisingekuwa na naiwazia mechi hiyoo ila kwa sasa Viongozi wa simba hawapambani sana kama Hanspope kuhakikisha simba inashinda hizi game za Simba vs Yanga, tumekuwa Simba laini sana.
Tukubali hatuna timu ya kuwafunga uto. Sisi ni tia maji tia maji na ndio maana tunaitwa Manyonyo fc.
 
Yaani Kuna shabiki wa mbumbumbu fc ana amini wanatimu ya kucheza nusu fainali ya CAF champion league, Hii Dunia inawatu Wana fikra za ajabu sana[emoji2][emoji2]
Nyinyi mnayo timu ya kucheza group stage CAF champions league?
Since 1998 🤫!!!!
 
Wanasimba mwezi wa KUMI unakuja.

Tufanye nini ili tuweze kuwafunga YANGA msimu huu. TUmechoka sasa kufungwa kila mara. Mikakati iwekwe mapema tuwaue hawa utopolo this is too much.

Angekuwepo Hans Pope nisingekuwa na naiwazia mechi hiyoo ila kwa sasa Viongozi wa simba hawapambani sana kama Hanspope kuhakikisha simba inashinda hizi game za Simba vs Yanga, tumekuwa Simba laini sana.
Sasa mtamlilia huyo Hanspope mpaka lini!! Kwani alipokuwepo mlikuwa hamfungwi?

Na kwa taarifa yako, hiyo tarehe 23, kichapo kiko pale pale!
 
Back
Top Bottom