October 1st 2016; Diamond na WCB kuibadilisha Tasnia ya Bongo Fleva tena

October 1st 2016; Diamond na WCB kuibadilisha Tasnia ya Bongo Fleva tena

kedrick

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
5,080
Reaction score
4,914
Nasibu Abdul Juma "Diamond Platinumz" "Simba" Chibu Dangote" ni miaka minne imepita toka alipobadili tasnia ya mziki wa Bongo fleva mwaka 2012 pale alipofanya concert ya Diamonds Are Forever bila msanii wa kimataifa yoyote na kuweka kiingilio cha elfu 50 kilichotokea hamna asijua hapa ndipo story za diamond ni freemasons ndipo zilipoanzia kumbe zilikuwa ni juhudi na utubutu iliofanikisha iyo show

Mwaka huu October 1 2016 Escape One patafanyika show ya kimataifa Diamond pamoja na wasanii wenzake wa WCB, Rich Mavoko, Raymond na Harmonize watakisasanua na uzuri ni kuwa show hii haitkuwa playback bali nyimbo zote zitapigwa na live band (live band inayozugumziwa hapa sio ile mara vyombo vimegoma hii ni live band ya kimataifa km ambavyo unaonaga jinsi J .Cole au Alice Keys akiwa ana perform)
Kiingilo cha hii show bei yke itakuwa ni tofauti na show zote zilizowahi fanywa ktk ukanda wa Afrika Mashariki
Mje mfundishwe jinsi live band inavyopigwa na kufanywa.
#Usihifadhi Tarehe, Hifadhi Pesa

1471552468375.jpg
1471552578880.jpg
1471553558763.jpg
1471553594865.jpg
 
Ivi ukiandika tu naseeb abduli isnt enough? Elimu ni muhimu sana hii nchi
 
Wasanii wabongo wengi, wana sauti mbaya live, namkubali Platnumz ameleta revolution kubwa sana bongo flava lakini kwenye kuimba live ni full aibu. Ngoja tusubiri tuone kama vocals zao zimebadilika kimiujiza.

Jamaa kaimba miaka mingi natumai atakua kajifua kwenye sauti natural kama alivojifua kwenye dance, hawa wenzake wa juzijuzi mhh!
 
Ungetanguliza na 'MUNGU AKIPENDA'
Ila kama haijawahi fanyika una uhakika gani havitagoma? BVR za uchaguzi zinagoma, sembuse vyombo vya mziki?
Tusipende kujitia umungu kwenye mambo mengine.
Nway, all the best.
 
Live show ambayo itakuwa ya kwanza kwa ukanda wa afrika mashariki? Hapana. Live band tumeziona nyingi zikipigwa na shows zinakuwa Kali ila kwa uwezo wa diamond kwenye live band..... Ninakuwa na mashaka na uwezo wake maana bado kinda sana kwa huu ukrasa
Wapo wababe mnooo kuliko vile unavyofikiria
 
JIDE ndo kiboko yao kwenye live

Live band! Hamna watu ninaowaamini kwa live band kama Wasanii wa mziki wa benga huko Kenya kama vile Wajaluo, Wakamba, Wakisii na wa Wakikuyu.
Hawa wanakupigia live hadi asubuhi.
 
itakuwa poa kama atafanya live kweli? mana anazinguaga sana akishika mic then akaimba live na gusauti gwake
 
Inaposemwa live inamaanishwa live,sio live yakuishiwa pumzi au live huku umesimama kama gogo (kuna msanii hapo katajwa live zake ni full gogo alipo hatoki wala hachezi) Na live hii sio vyombo vya kuazima ila ni live ya vyombo vyao,na mazoezi huu ni mwezi 3 watu wanajifua. cheki hii video hadi mwisho uone kitu cha live.
 
Huyo jamaa hana pumzi wallah
Muda utaongea
 
Huyo jamaa hana pumzi wallah
Muda utaongea
Mwaka 2015 alipata tuzo nyingi sana kwenye kipengere cha MTUMBUIZAJI BORA AFRICA na hii tuzo wanaangalia vitu vingi na kimojawapo ni jinsi unavyolimudu jukwaa na kulimudu jukwaa ni pamoja na puumzi, sio upo jukwaani umesimama kama mlingoti huwezi kushinda hizo tuzo.
 
Pumzi ya play back na live performance ni tofauti kabisaaaa
 
Usitake kupima pumzi ya Diamond na Christian Bella kwa namna yoyote halafu uje useme kirahisi tu kwamba itakuwa show ambayo haijawahi kuonekana ukanda as Africa mashariki
 
Back
Top Bottom