kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,080
- 4,914
Nasibu Abdul Juma "Diamond Platinumz" "Simba" Chibu Dangote" ni miaka minne imepita toka alipobadili tasnia ya mziki wa Bongo fleva mwaka 2012 pale alipofanya concert ya Diamonds Are Forever bila msanii wa kimataifa yoyote na kuweka kiingilio cha elfu 50 kilichotokea hamna asijua hapa ndipo story za diamond ni freemasons ndipo zilipoanzia kumbe zilikuwa ni juhudi na utubutu iliofanikisha iyo show
Mwaka huu October 1 2016 Escape One patafanyika show ya kimataifa Diamond pamoja na wasanii wenzake wa WCB, Rich Mavoko, Raymond na Harmonize watakisasanua na uzuri ni kuwa show hii haitkuwa playback bali nyimbo zote zitapigwa na live band (live band inayozugumziwa hapa sio ile mara vyombo vimegoma hii ni live band ya kimataifa km ambavyo unaonaga jinsi J .Cole au Alice Keys akiwa ana perform)
Kiingilo cha hii show bei yke itakuwa ni tofauti na show zote zilizowahi fanywa ktk ukanda wa Afrika Mashariki
Mje mfundishwe jinsi live band inavyopigwa na kufanywa.
#Usihifadhi Tarehe, Hifadhi Pesa