wakimataifa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 942
- 168
kama viongozi wa yanga wana akili ya kiuongozi mashindano ya bonanza ya cecafa kagame cup wasishiriki japo yanafanyika hapa nchini.
mwaka jana walitaka kupeleka timu ya vijana musonye alikataa na kutoa maneno makali na vitisho kwa maana hiyo anaitaka yanga kwa nguvu hii timu si ya cecafa ni ya wanayanga wala sio ya viongozi wa yanga pekee.
kwanza halina manufaa yoyote ujinga mtupu hata malinzi akiwabembeleza vipi kataeni, mkurugenzi wa mashindano atakuwa kaburu.
muwandikie cecafa barua mapema kuwa hamtashiriki