Oda kwa Yanga kutoshiriki bonanza la Kagame

Oda kwa Yanga kutoshiriki bonanza la Kagame

wakimataifa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
942
Reaction score
168
kama viongozi wa yanga wana akili ya kiuongozi mashindano ya bonanza ya cecafa kagame cup wasishiriki japo yanafanyika hapa nchini.

mwaka jana walitaka kupeleka timu ya vijana musonye alikataa na kutoa maneno makali na vitisho kwa maana hiyo anaitaka yanga kwa nguvu hii timu si ya cecafa ni ya wanayanga wala sio ya viongozi wa yanga pekee.

kwanza halina manufaa yoyote ujinga mtupu hata malinzi akiwabembeleza vipi kataeni, mkurugenzi wa mashindano atakuwa kaburu.

muwandikie cecafa barua mapema kuwa hamtashiriki
 
Kwani Musonye anamaliza lini muda wake wa kuiongoza cecafa!!?
Huyu jamaa simpendi kama nini.......
 
Yanga msipeleke timu kwenye kagame tumuone musonye atapata wapi pesa maana yuko kimaslahi zaidi na si kuinua soka la vijana wanachipukia kwa alivyofanya mwaka jana ameonekana dhahiri si mwanamichezo kabisa kataeni uongozi wa yanga kupeleka timu kwenye kagame cup.
 
hivi huyo jamaa musonye anachaguliwa au kuteuliwa? maana kitambo sana namsikia cecafa......hatoki tu!
 
hii ni nafasi kwa malinzi kutuonesha yeye ni aina gani ya kiongozi kwa maamuzi ya kukubali au kukataa ombi la (musonyi cup )
 
hivi zile pesa YANGA wanazo idai Cecafa walipewa kweli?
 
CECAFA cannot survive if teams send their youth teams. Yanga wacheni maringo.
BTW mwenyekiti wa CECAFA ni LeoEdgar Tenga.
 
Hiyo yanga utafikiri bonge la timu Afrika.....wabongo wanavyo jifananisha...one day mkifika level za TP Mazembe simtataka mkashiriki UEFA badala ya CAF champions league
 
0021 ongea point acha mbwembwe ww

Alichofanya musonye mwaka jana unaona ni haki???

Na timu ya kuingiza mapato cecafa ni Yanga pekee acheze popote east africa fatilia ilo
 
Back
Top Bottom