Odama huvumi lakini umo

Wakati kuna watu wanawaza walifanyie nn taifa letu ili wakumbukwe ye anawaza kutukana tu kila mtu ili apate umaarufu kwa mgongo wa watu.. umaarufu wenyewe wa bifu.buyu tu yule zero brain kabisa
 
Wakati kuna watu wanawaza walifanyie nn taifa letu ili wakumbukwe ye anawaza kutukana tu kila mtu ili apate umaarufu kwa mgongo wa watu.. umaarufu wenyewe wa bifu.buyu tu yule zero brain kabisa

hahahahaga Umeona eeeeh
 
Niliuliza swali hapa kwamba km kweli alizoea maisha ya juu kabla ya ndoa na mzungu why shobo zinazidi km mtu aloyajulia ukubwani???? Kwa maisha ya sasa anayoishi ni ya kawaida sana tu labda hayo ya enzi hizo kabla sijaja mjini ambayo me siyajui

Huyu ana ulimbukeni uliopitiliza
 
Wadaku wenzangu mpo? Was busy Leo haya leteni mpya za town kabla haxijapoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…