Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
utapata mrejesho...mimi tena
Kichwa kimepoaa jana ulihepa mapemaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utapata mrejesho...mimi tena
ahahahahahaha
ila mie nampenda mange..halafu muuza maua hawezi kuwa yule mzungu bana
Hahhhhahhha kumbe muuza maua super market au wapii halaf nilisikiaa wanaishii kwenye ka mtaa ka mashoga ashabakiaa kusema ooo leo nipo kiwanja gani ooo leo nipo beach kazi kurusha tu pichaaa wana Hela halaf wamepangaa nyooo zakeee wenye pesa zao huko kimyaa lakin ye kujifanya eti celebrity ndio maana hata Shigongo hamuandikii maana hauzii vilee na ukimavi wakee
Na siku zote maskin tukipataa mata.ko huliaa mbwaataa
Wakati kuna watu wanawaza walifanyie nn taifa letu ili wakumbukwe ye anawaza kutukana tu kila mtu ili apate umaarufu kwa mgongo wa watu.. umaarufu wenyewe wa bifu.buyu tu yule zero brain kabisa
Mwe nimepitwaje jamani na huu uzi.. Heaven on Earth hata kunishtua....
My dia mim ndo najifunza funza bado sijawa mjuzi.....Hahhhhha sistaa umenichekeshajeeee maliziaa sasa mchango wako tuuonee hapaa
My dia mim ndo najifunza funza bado sijawa mjuzi.....
kuna akaunt nilifungua kwa Mange nikamchamba akaishia kuniblock
eti sifai ye anataka kusifiwa tu.... TATIANA good morning nitarudi
Niliuliza swali hapa kwamba km kweli alizoea maisha ya juu kabla ya ndoa na mzungu why shobo zinazidi km mtu aloyajulia ukubwani???? Kwa maisha ya sasa anayoishi ni ya kawaida sana tu labda hayo ya enzi hizo kabla sijaja mjini ambayo me siyajui
Yaan hizo team jamanii loll nasikia Wema katukanwa mno Insta eti kazeekaa hamfai domo hahhhha sijui hao ni team ganii lol
Mume mwenyewe nasikia muuza maua lol eti Archtecture hata jide tu anamali kuliko albino wake huyo, mbona wenzie akina TK na Odemba wako kimya tu.
Mndengereko mbona nimechelewa kukufaham.... kweli first class
utapata mrejesho...mimi tena
Wadaku wenzangu mpo? Was busy Leo haya leteni mpya za town kabla haxijapoa
Gossipcopwarumi tuletee mpya za Leo plzTumsake warumiiii
Najifunza kuchangia kwa kumwaga data na mimi na pia nataka kujifunza kunyamba mana mtu ananikwaza naishiaga kumwambia asante....badala ya kumpa maneno anayostahili....Unajifunza kunyamba au kufanyajee??