Odama huvumi lakini umo

Odama huvumi lakini umo

Daah asokujua kila anachosikia nae anaamini anaenda kuadisia..mimi binafsi namjua mboni nimesoma nae o level she is 34 now amezaliwa 1980 nahayo mambo ya matiti labda limeharibika now enzi namjua hakua na kilema chochote cha maziwa na huwa anavaa ngua hata bila braa .hayo mwengineyo ya kina chifu kiumbe siyajua sbb hatuko karibu kama zamani tukikutana ni stori kidogo kila mtu anachukua ustaarabu wake
 
Mboni ana nini kwan kuhusu hayo manyonyo yakei!!!!!!!!!!!
 
Mwenzangu yule hutakiwi kugombana naye ukigombana naye uwe umejipanga maana atatafuta data zako zote aziweke kwenye blog yake

kuna mmoja aligombana nae akaenda kufukunyuaanakojua yeye hadi benki anayokopa na kuanza kumnanga eti

anaishi mjini kwa mkopo
 
Hahahaaa... mjini mtu akikuamulia anaweza pasta details hadi za utumbo wako ulivyokaa tumboni.

Poor her!
 
Anawapata tu hao wanaojulikanaa mtu kama mie atanipataa wapiiiiii kiruuuuuuu
 
mie aliniblock akanambia uwaziri haunifai.........

Ungemsifiaa angekuletea vile vinguo alivyokua akivivaa wakatii wa ujauzito vinguo vyenyewe vidaso daso tu eti kisa kimetoka mamtoni lol si bora unajinunua hata ya 10000 kuliko kuvaa jasho la mtu
 
kuna mmoja aligombana nae akaenda kufukunyuaanakojua yeye hadi benki anayokopa na kuanza kumnanga eti

anaishi mjini kwa mkopo

Huyo ni Sintaa pia alipewa umbeaa na hao wajinga wenzie maana Sinta alikopa pesa ili kuendeleza duka la nguo za harusii
 
Umbea full time no kuchoka

Kananiuzi mi hako ka kiberenge utafikiriwa alizaliwa na pesa aombee sanaaaa kwanza akija huku bongo anakua na mabwana wenginee kazi kusema wenzie malayaa
 
Ungemsifiaa angekuletea vile vinguo alivyokua akivivaa wakatii wa ujauzito vinguo vyenyewe vidaso daso tu eti kisa kimetoka mamtoni lol si bora unajinunua hata ya 10000 kuliko kuvaa jasho la mtu

hahahaaaaaaaaaa watu wanagombania zile LV kule
 
Back
Top Bottom